Wewe si huamini kwasababu ya dini?
Mi nawe tushamalizana ulishanambia jambo lolote ambalo dini itasema we utafata bila kuhoji hata kama ingesema mwanaume aolewe wewe uko tayari kufata, sasa sembuse ushindwe kufata nadharia ya dunia bapa?
Niliuliza definition ya "flat" hapa.
Mpaka sasa sijajibiwa jibu la kueleweka.
We unatumia google kuweka vi-attachments vyako hapa kama ndo source ya taarifa zako inamaana huna uwezo wa kutengeneza vyako?
We unatumia google kuweka vi-attachments vyako hapa kama ndo source ya taarifa zako inamaana huna uwezo wa kutengeneza vyako?
Nyie sio tu flat earthers bali hata ubongo nao ni tatizo vilevileView attachment 1337675
Na ndio maana nimeitumia kukujibu
Dini haiwezi kusema mwanaume aolewe sababu huo ni ujinga, ndio maana dini imekataza hilo.Wewe si huamini kwasababu ya dini?
Mi nawe tushamalizana ulishanambia jambo lolote ambalo dini itasema we utafata bila kuhoji hata kama ingesema mwanaume aolewe wewe uko tayari kufata, sasa sembuse ushindwe kufata nadharia ya dunia bapa?
Bora mtoto mjanja kuliko kubwa jinga
So the earth has no variation in height?
Umejua kupitia dini na huna references,Dini haiwezi kusema mwanaume aolewe sababu huo ni ujinga, ndio maana dini imekataza hilo.
Huwa tunaambiwa mazungumzo yoyote yanayo husu maumbile na viumbe nje ya muongozo wa dini huwa yanaishia kwenye migongano na kukosea kosea.
Sisi tumesoma mambk yenu ya sayansi na tunaishi nayo na kupitia dini ndio imetufanya tuwe makini na kuhoji mambo kwa kutumia akili hasa.
Kwa uchache tuyafuatayo nimeyajua ukweli wake kupitia dini, na hakuna yeyote hata awe mwana sayansi nguli wa kusimama na hoja kupinga haya yafuatayo.
1. Nimejua kupitia kupitia dini hakuna aliye wahi kufika mwezini na hatokuja kuweza, na hapa kua hoja nyingi.
2. Nimejua kupitia dini ya kuwa dunia haitembei bali jua ndio linatembea
3. Nimejua kupitia dini ya kuwa hakuna kutokea kwa jambo kwa bahati mbaya yaani bila sababu.
4. Nimejua kupitia dini ya kuwa dunia ni duara
Na mengine mengi....
Na ndio maana nimeitumia kukujibu
So the earth has no variation in height?
Milima na mabonde yote hayo si variation in height?
Kwani mlima ni sehemu ya dunia au si sehemu ya dunia?What you are trying to reflect ni kuwa kwenye meza nikiweka chupa ya chai na kikombe itaiondolea mezaa sifa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinifundishe hesabu ambazo zinafundishwa mashuleni ambako wewe na wenzako flat earthers mnasema tumejazwa ujingaOk ngoja nikufundishe hesabu
Flat- 1
Sphere- 0
Kwenye binary numbers
1 - ON
0 - OFF
NADHANI MIMI NA WEWE TUMEMALIZANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejua kupitia dini na huna references,View attachment 1337680 What a joke but i aint laughin?View attachment 1337680
Katika record yangu humu sijawahi tukana mtuHili sio jukwaa la matusi,huna hoja ni bora unyamaze kuliko kujidhalilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinifundishe hesabu ambazo zinafundishwa mashuleni ambako wewe na wenzako flat earthers mnasema tumejazwa ujinga
unauhakika gani kwamba hesabu hizo unazozijua sio ujinga uliojazwa huko shuleni?
Unataka tuwe wajinga wote?
Katika record yangu humu sijawahi tukana mtu
Hilo neno kondoo ndo tusi?
Nikweli huyu paka namuona mkubwa sana mpaka ameweza kutembea juu ya dunia na ku prove kua dunia ni flat kitu ambacho wanasayansi wamekua wakitudanganya si mchezo ujue..Mjinga ni yule anaombawiwa unamwonaje yule paka anayetembea kimaumbile anasema "namwona mkubwa kama simba anayekimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app