Acha uzushi. Hii ni sehemu ya vipengele vya mkataba unaousema;
1. Antarctica shall be used for peaceful purposes only. There shall be prohibited, inter alia, any measures of a military nature, such as the establishment of military bases and fortifications, the carrying out of military maneuvers, as well as the testing of any type of weapons.
2. The present treaty shall not prevent the use of military personnel or equipment for scientific research or for any other peaceful purposes.
Nimemsikiliza sio leo ,anauliza maswali ya mtego as if jamaa hes wrong on what hes doing hiyo ni mental attack kisaikolojia ,angalia hizi hapaFuatilia kwa karibu maswali ya mwandishi, you will notice something.
Mkuu dunia haijawahi kuwa kubwa kuliko jua. Kumbuka pia jua halijawahi kuizunguka dunia.Kama ambavyo unaona dunia ni kubwa saaaaana kiasi kwamba mtu hawezi kuhisi kama ina move kutokana na udogo wake huyo mtu ns dunia ni kubwa,basi ndo hvyo hvyo dunia flat ni kuubwa sana kiasi kwamba lile jua mwanga wake haufiki pande zote za dunia kwa sababu dunia ni kubwa sana.
Dunia ni rahisi sana siku zote, ila watu mnaifanya ionekane ngumu pasipo na sababu za msingi. Mnaacha FACTS mnakimbilia UZUSHI - na ofcourse wabongo kwa uzushi tuko vizuri.Unazani wao ni wajinga waweke mkataba wao hapo hiyo inaitwa mind catchup ili watu wawe narelief nao waendelee na agenda zao,unachukulia dunia kirahisi sana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dunia haijawahi kuwa kubwa kuliko jua. Kumbuka pia jua halijawahi kuizunguka dunia.
Na kama ingekuwa dunia ni flat kama unavyodai na tena ni kubwa kuliko jua basi kuna baadhi ya sehemu zisingefikiwa na mwanga milele.
Kuwepo kwa usiku na mchana kunaonyesha dunia ni kama tufe linalojizungusha kwenye mhimili wake ndio maana kuna maeneo yanafikiwa na jua na mengine giza kila siku hali ikiendelea.
Kama dunia ingekuwa flat ingejipangaje na sayari zingine ili kulizunguka jua kumbuka jua halizunguki dunia wala sayari yoyote.
Hawa wanasayansi wa "Flat Earth" ni noma 😂😂😂
.Hawa wanasayansi wa "Flat Earth" ni noma [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mara mangapi kesi za flatearth zimetupiliwa mbali,kwanini ramani za flat earth zifichwe ,kwanini internet data kuhusu flat earth zinaanza kupotea kwenye database,kwanini watu wanalalamika youtube wanazifuta video,kwanini NASA hawatoi report public kwenye mtandao watu wafanye research kwani public wana interest ya kuwa astronauts si wanapewa hizo evidence waprove ,kwanini video za mwezini hawana,kwanini wazifute?kwanini ukiwauliza maswali wanasema classified au confidential ,kwanini waanze kwenda mwezini kwenye 60s,baada ya NASA,Baada ya operation high jump,huku wakijua mwezi is just a glowing circle and sometimes transparent, unjua ni lini dunia Imeanza kuwa mpira,na ni nani alifanya iwe ..
Kwani walitumia ruler gani kupima?[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani kipenyo (diameter) ni propaganda? teh teh [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] hii kali
Mkuu unachanganya mambo sana sana huenda hujasoma physics ukaelewa kabisha hasa kwenye hilo suala la ndenge na mambo ya satelite na mawasiliano.Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani
Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?
Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?
Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?
kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?
Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Mbona mimi naziona nyingi na nimezitazama. so what is beyond hizi boundaries mnazodai zipo? Hivi ina make sense nhi zote ambazo zimeendelea na zimerusha satelite ikiwemo N.Korea, Iran, China, Russia, Nigeria, Ethiopia hata rwanda wote asiwepo hata mmoja wa kusema jamani huu ni uongo?Unaelewa maana ya uzushi, na madhara ya kuzusha zusha vitu? Lazima kesi zitupiliwe mbali kwa sababu ni upotoshaji mnasema dunia ni flat without ACTUALLY INVESTIGATING WHETHER IT'S TRUE OR NOT.
Hivi leo upeleke hata kesi yako mahakamani na hauna ushahidi wataacha itupilia mbali?. Leo ukienda YouTube kuandika uzushi ambao hauna ushahidi na ni una madhara hautafutwa?
Kwanini watoe public announcement kwamba watu wafanye research na wakati wana uhakika kwamba uchunguzi uliofanywa ni sahihi? Wewe hauoni ukisema kwamba Fanya uchunguzi maana yake na wewe mwenyewe una mashaka na uchunguzi uliofanyika?.
Uzushi haukubaliki popote duniani, hata hapa Jamiiforums, ukileta taarifa yenye taharuki inabidi uwe na evidence ya source la sivo ni uzushi na itafutwa.
REALITY, you are a conspiracy theorist. All the flat earth theory's are wrong.
OkUnaelewa maana ya uzushi, na madhara ya kuzusha zusha vitu? Lazima kesi zitupiliwe mbali kwa sababu ni upotoshaji mnasema dunia ni flat without ACTUALLY INVESTIGATING WHETHER IT'S TRUE OR NOT.
Hivi leo upeleke hata kesi yako mahakamani na hauna ushahidi wataacha itupilia mbali?. Leo ukienda YouTube kuandika uzushi ambao hauna ushahidi na ni una madhara hautafutwa?
Kwanini watoe public announcement kwamba watu wafanye research na wakati wana uhakika kwamba uchunguzi uliofanywa ni sahihi? Wewe hauoni ukisema kwamba Fanya uchunguzi maana yake na wewe mwenyewe una mashaka na uchunguzi uliofanyika?.
Uzushi haukubaliki popote duniani, hata hapa Jamiiforums, ukileta taarifa yenye taharuki inabidi uwe na evidence ya source la sivo ni uzushi na itafutwa.
REALITY, you are a conspiracy theorist. All the flat earth theory's are wrong.
Mbona mimi naziona nyingi na nimezitazama. so what is beyond hizi boundaries mnazodai zipo? Hivi ina make sense nhi zote ambazo zimeendelea na zimerusha satelite ikiwemo N.Korea, Iran, China, Russia, Nigeria, Ethiopia hata rwanda wote asiwepo hata mmoja wa kusema jamani huu ni uongo?

Haimake sense kama kuwa siri ya kambi uzuri hayo mambo ya antarctica na huyo major nisha yafuatilia sana na huyo major sidhani kama ilikuwa flat earth bali hollow earth wanasema antarctica ndipo kuna mlango wa kuingia ndani naye aliingia na ndege yake. baadae akaja yaongea kwenye interview akafa kwa kifo cha kutatanisha na mwanae akaja kuawa.But naona ni maspeculations tu

We mtoa mada mbona kwenye uteyezi wa hoja zako sijaona jibu lolote la maana linalothibitisha kwa macho hoja yako zaidi umeokoteza tu vitu uko kwenye mitandao.Hoja zakusema dunia ni tambarare nizakuokoteza kwasababu hazionekani nakuthibitika kwa mtazamo wa kawaida.
hiyo Darwin's theory sikubariani nayo na wengi wanaipinga