LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 337
- 655
Hii picha ni pointless, velocity au speed ni ratio ya distance covered to time taken. Ndege standard tu inakamua 800km/hr ma umekaa angani unakunywa na chai tulii husikii hata kma inaenda ije kuwa rotation ya dunia.
Kujadiliana na huyo mtu ni kupoteza muda, kwangu mimi sijaona mtu kilaza kama Kiranga, ukimbana kwa hoja hajibi anakimbilia kichaka kuuliza maswaliya kipuuzi.Nikisema kuandika hujui si utanishangaa sometimes error zipo japo nishakujibu hilo swali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha ni pointless, velocity au speed ni ratio ya distance covered to time taken. Ndege standard tu inakamua 800km/hr ma umekaa angani unakunywa na chai tulii husikii hata kma inaenda ije kuwa rotation ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa, huyu jamaa zuri Ni close minded namba 1 dunia nzima na hata all over the universe
ARUSHA KWETU
Mkuu nihizo sauce planes kama visahani ili vilikuwa vidogo meaning mbali,na kwa mda huo nilikuwa nishajua kwa kupitia self investigation maana kila mtu ana namna yake ya utafiti na uthibitisho kwa ufahamu wake binafsi..
Mtu anayekata time travel naye ana tatizo sehemu ,hii dunia nipana sana mi naona watu wanafanya kejeli ,lakini hata si shangai
Kwani watoto wako wakiwa sebuleni wanacheza si unawaangalia ,wakichoka wanaenda kulala,halafu kesho shule wakapambane na mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaamini sayansi ndo kundi waliloevolve kutoka nyani kwa big bang ,ndo uzazi wao huuKujadiliana na huyo mtu ni kupoteza muda, kwangu mimi sijaona mtu kilaza kama Kiranga, ukimbana kwa hoja hajibi anakimbilia kichaka kuuliza maswaliya kipuuzi.
Mimi huwa unajinadi kwamba ameniweka "Igonore list".
Hapo mtakesha.
Bora ujadiliane na wasomi mia kama una hoja unaweza kuwashinda, kuliko kujadiliana na mjinga, lazima atakushinda tu.Anaamini sayansi ndo kundi waliloevolve kutoka nyani kwa big bang ,ndo uzazi wao huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia kama dunia ni flat plane kama unavyotaka tuamini kuna sehemu zingekuwa daima ni giza maana zisingekaa zipate mwanga wa jua na zingine zingekuwa daima ni mchana kwa maana jua zingezimulika daima.
Amechagua njia yake ya mtazamo hatuna budi kumwacha aendelee,everybody believe on whatever japo ukweli upo palepaleBora ujadiliane na wasomi mia kama una hoja unaweza kuwashinda, kuliko kujadiliana na mjinga, lazima atakushinda tu.
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama ww mmeshakua misukule.Nijenge mara ngapi
To the fucking..... Earth flatters tuongee mara ngap you bitches
Nimekwambia kama dunia ni flat plane kama unavyotaka tuamini kuna sehemu zingekuwa daima ni giza maana zisingekaa zipate mwanga wa jua na zingine zingekuwa daima ni mchana kwa maana jua zingezimulika daima.
Pia kama dunia ni flat plane nimekwambia baadhi ya miji kwenye latitude zilizosawa zisingekuwa na tofauti ya giza na mwanga.
Wewe hujajibu umeniwekea fiction stories.
Punguza ujinga! America iko magharibi mwa Dunia na Urusi iko mashariki mwa Dunia! inakuwaje wanapakana kwa tofauti ya kilometers 3.7 kwa Visiwa vilivyopo kati ya Siberia Urusi na Alaska USA?! Au upande wa Magharibi mwa Dunia hakuna huo ukingo unaosema na mashariki napo haupo pia?!Kingo za dunia ni kuta za barafu ukizivuka kuna ardhi inaendelea yani you are getting out of the boundaries of the earth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe msukule tuunianze kubishana na mtu ambaye hajui chochote na harespect hata kazi za kina erwin Schrödinger, Werner Heisenberg, Max Born and others
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu mathematical function na wave function
Mtu ambaye nikimwambia momentum states is the space of square-integrable ataishia kunibishia
Mtu ambaye nkijaribu kumweleza kwambavectors ni elements of a complex separable Hilbert space
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu eigenstates
Nianze kubishana nae hapa
I will be stupid
Mkuu naomba unisaidie kufahamu ni kwanini jamaa walituongopea, malengo yao hasa ni yapi kutuaminisha kuwa dunia ni Spherical.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unatumia azimuthal globe map ya NASA utanielewa vipi shida hao wanaowalisha matango pori muwe vijakazi wao wao wanatumia azimuthal flat standard mapPunguza ujinga! America iko magharibi mwa Dunia na Urusi iko mashariki mwa Dunia! inakuwaje wanapakana kwa tofauti ya kilometers 3.7 kwa Visiwa vilivyopo kati ya Siberia Urusi na Alaska USA?! Au upande wa Magharibi mwa Dunia hakuna huo ukingo unaosema na mashariki napo haupo pia?!
Mkuu, nje ya ndege ni wapi abiria huwa wanakaa? Huyo jamaa hapo ana compare oranges and apples. Bembea unaifeel kwa sababu you are accelerating. Kwenye rotation ya dunia au cruising sped ya ndege(except wakati wa take off na landing) acceleration ni zero huwez feel chochote ni physics ya form 1 kabisa.