REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #321
YesNgoja haya maeleze ni mengi.
Kwa kifupi unamaanisha jua ndio linatembea na sio dunia inazunguka?
Sent using Jamii Forums mobile app
YesNgoja haya maeleze ni mengi.
Kwa kifupi unamaanisha jua ndio linatembea na sio dunia inazunguka?
Tunaongelea njiaFlights za Sydney to California zipo na za kupitia ulaya to New York zipo pia.
Qantas and United Airlines fly direct from Sydney only in 13 hours and 35 minutes, traveller.com.au says
Haswaa, na wamepatia katika kuelezea aya husika juu ya hili.
Wewe ni zaidi ya mjinga. Wewe ni mjinga mbishi.Mjinga ni yule ambaye anashindwa kudecipher meaning kwasababu anaweza kuanganisha dots ila anajitoa ufahamu kwa kutumia grammar
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unafikiri, wat do they get from lying??Haswaa Kimara,mambo haya hata kwa macho tunaona kila siku, ila kwa kujifaragua Wanasayansi wanatuletea mbwembwe na maneno mengi.
ZurriHaswaa Kimara,mambo haya hata kwa macho tunaona kila siku, ila kwa kujifaragua Wanasayansi wanatuletea mbwembwe na maneno mengi.
Nimecheka sana Baba Swalehe.

sasa kiranga moja si ya writing materials na ingine si ya stability ,mbona unakuwa na akili ndogo hivyo nijasahihishe ili iweje na naelewa nilikuambia it was an error duh.
Wewe ni zaidi ya mjinga. Wewe ni mjinga mbishi.
Ndiyo maana mpaka sasa hujasahihisha mistake yako ya kuchanganya "stationery" na "stationary".
You are an illiterate imbecile.
A stubborn one at that.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi kubahatisha.
What is flat? How do you know this is flat and that is not?sasa kiranga moja si ya writing materials na ingine si ya stability ,mbona unakuwa na akili ndogo hivyo nijasahihishe ili iweje na naelewa nilikuambia it was an error duh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa sisi ni immortals na tupo duniani kwa sababu fulani na hatukupaswa tuishi tunavyoishi sasa kwasababu tunauwezo mkubwa kuliko teknologia .
Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........
INSHORT DUNIA INAELEKEA KWENYE SINKING ZONE NA HUMANS WATALOOSE HUMANITY WATAKUWA VIRTUALLY ORIENTED NA MACHINES YANI ARTIFICIAL INTELLIGENCE ITA TAKE PLACE NA HAPO NDIPO TUTAKUWA TUMEPOTEZA UHALISIA NA UZAO WETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalijua, na mimi sio kwamba kila Sayansi naikataa, ila huwa nina mashaka sana na Sayansi ya ANGA.Zurri
Wanasayansi wapo wa aina mbili wanaotumia mfumo wa upotoshaji na ambao wapo relatively na uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Its gud to argue ila ni kichaa pekee awezaye kuargue bila proof. Hiv unajua hapo hujajibu swali langu.
Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........
MjingaHujui hata tofauti ya "a spelling error" na "a spell error".
Na umekataa kusahohisha ulipooneshwa umekosea.
You are not only an illiterate ignoramus.
You are an imbecile ignoble too.
Wewe si mjinga wa kawaida tu. Bali wewe ni mjinga mbishi.
Hata unapooneshwa ujinga wako, unakataa kujisahihisha.
Ningeweza kukuelimisha kama ungekuwa mjinga tu.
Lakini mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app



















"Huenda aliye anzisha flat earth alikua mwehu"Sipendi kubahatisha.
Huenda hawapati chochote zaidi ya kufurahisha nafsi zao.


With no variations nor spinless
Waliumbwa wazazi wetu sisi ni vizazi.Majibu yako yanatakiwa yapewe priority na sio kupuuzwa
Sasa kama sio kweli hatukutokana na nyani je tulitokana na nini?
It's Scars