The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Kitu kitakuwaje katika mwendo na usihisi mwendo kwa kuangalia nje ya kitu hicho ? Hiyo speed kali kwayo usihisi chochote waliipima vipi ? Hata kwa vitu vikubwa tusione harakati zozote ?

Nilitaka nikujibu from a physics point of view and psychological point of view.
Ila nilivoona hii username yako nikaacha kwa sababu haujui, na hautaki kujua kwa sababu unaamini ulichonacho kichwani ndicho kilicho sahihi.
 
Hawa watu wengine si wajinga wa kawaida tu.

Ni wajinga wabishi.

Mjinga wa kawaida unaweza kumuelewesha akaelewa.

Mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watathibitishaje kwamba wewe ni nyani,watathibitishaje big bang,watathibitishaje evolution,lazima wafanye mpango kuwa dunia ni sayari inayoelea ambayo imetokana na mlipuko na ukichaa mwingine huku wakijua si kweli na hata nembo ya umoja wa mataifa ni flat earth not spherical
Its gud to argue ila ni kichaa pekee awezaye kuargue bila proof. Hiv unajua hapo hujajibu swali langu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka nikujibu from a physics point of view and psychological point of view.
Ila nilivoona hii username yako nikaacha kwa sababu haujui, na hautaki kujua kwa sababu unaamini ulichonacho kichwani ndicho kilicho sahihi.
Mpaka najiuliza kwanini watu nyinyi mnafanana na kukimbilia kichaka cha "Hujui mara nikianza kukuelezea huwezi kuelewa". Hili nililiona kwa mdau mmoja anae jiita "Baba Swalehe" bibie wewe Elezea tu nina uhakika kama uko vizuri juu ya hicho unachotaka kukielezea lazima nitakielewa tu na ndio utakuwa umenifundisha kama kwelinikiwa sikijui.

Jambo lingine ni kuwa "Physics" kama somo nimelisoma kwahiyo harakati zake na vurugu zake na changamoto zake nazielewa bali naishi katika somo hilo kama msingi wa ninacho kifanya.

Kwahiyo bibie, eleza tu na unijuze.
 
Elimu yangu darasa la saba mkuu

Tupe shule hio kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watathibitishaje kwamba wewe ni nyani,watathibitishaje big bang,watathibitishaje evolution,lazima wafanye mpango kuwa dunia ni sayari inayoelea ambayo imetokana na mlipuko na ukichaa mwingine huku wakijua si kweli na hata nembo ya umoja wa mataifa ni flat earth not spherical

Sent using Jamii Forums mobile app
.
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia arctic ipo katikati
 
Watakimbilia big bang ambao wenzao wasuka vitabu makwao chumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukiwauliza je una amini juu ya big bang au unaijua big bang ?

Watu wamepewa akili ila wanatumia akili za wengine kwa ule ulio tungwa na watu wao, basi wanapotea wao na wanawapoteza wenzi wao.

Laiti kama tungekuwa tuna hoji au kufikiria mambo kiundani, wajinga wangepungua sana. Ila sasa kwa kujinadi watu hao ni balaa na kutaja taja majina tu.
 
Kuwa sisi ni immortals na tupo duniani kwa sababu fulani na hatukupaswa tuishi tunavyoishi sasa kwasababu tunauwezo mkubwa kuliko teknologia .

Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........

INSHORT DUNIA INAELEKEA KWENYE SINKING ZONE NA HUMANS WATALOOSE HUMANITY WATAKUWA VIRTUALLY ORIENTED NA MACHINES YANI ARTIFICIAL INTELLIGENCE ITA TAKE PLACE NA HAPO NDIPO TUTAKUWA TUMEPOTEZA UHALISIA NA UZAO WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
so why ukiizunguka dunia eg from Tanzania in a straight line you will be ended at Tanzania
 
Elimu yangu darasa la saba mkuu

Tupe shule hio kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiws tunajadili mambo ya kielimu unatakiwa uwe makini na usilete uongo wa kitoto, jana tu ulikuwa unajifaragua kwa kugundua njia ya kumtibu mtu aliye paralaizi, au kama ulivyosema na unajinasibu na sayansi na kuwa umesoma.

Tukiamua kufanya kazi tufanye kazi hui utoto wa kusema darasa la saba, wakati kila siku unajifaragua na usecular wako unatakiwa uache, aidha utupuuze au uwe mkweli.
 
Hawa watu wengine si wajinga wa kawaida tu.

Ni wajinga wabishi.

Mjinga wa kawaida unaweza kumuelewesha akaelewa.

Mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.

Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
 
Ni yupi bora yule ambaye anaijua sayansi kwa kuisoma shule,kuihoji kugundua utofauti au yule ambaye naye kaisoma shule halafu kawa mtumwa na kupe,maana naona mmoja katekwa,anakarariri,ubongo mzito na mwingine skeptical na ubongo mwepesi wa kudadavua.
Halafu ukiwauliza je una amini juu ya big bang au unaijua big bang ?

Watu wamepewa akili ila wanatumia akili za wengine kwa ule ulio tungwa na watu wao, basi wanapotea wao na wanawapoteza wenzi wao.

Laiti kama tungekuwa tuna hoji au kufikiria mambo kiundani, wajinga wangepungua sana. Ila sasa kwa kujinadi watu hao ni balaa na kutaja taja majina tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom