The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Maji yanakaaje kwenye chungwa
A line is an infinitely large circle. A flat surface is the limit of sphere as radius tends to infinity - ukubwa wa radius ya dunia ndio inapelekea flat earthers kuhisi dunia umbo la chapati.Its just an illusion. Ukweli pale pale dunia mviringo wa chungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingo za dunia ni kuta za barafu ukizivuka kuna ardhi inaendelea yani you are getting out of the boundaries of the earth.

Sent using Jamii Forums mobile app
NieleweshWe zaidi kuhusu hizo kingo za barafu.
Kama nakumbuka vizuri hii siri ya hizi kingo inaratibiwa zaidi antarctic pole na hao elites. Kama kweli dunia ni round and flat,kwanini kingo zisiwepo kuizunguka hiyo sahani kote na wanadhibiti ncha ya antarctic peke yake? kUna utofauti gani na barafu za pande nyingine za hii sahani ya dunia?
 
T
H

Katika katika hii picha nimepata swali.
Kama ni kweli kuwa mapambazuko huanzia mashariki na kuishia magharibi,endapo dunia ni duara tambarare,huo mwanga hapo unarudije kuanzia mashariki ukishafika magharibi siku inayofuata?
Nataka kueleweshwa.
This can never be true.. time zone imekatiza tangu north moaka south ya dunia.. kwa namna hichi kudubuwasha kinavyozunguka hapa, kinaonekana kama ni muda wa mchana utaanzia north mpaka somewhere karibu na equator. Kitu ambacho sio kweli
 
Nimekusoma mkuu.

Ila katika hoja ambazo niliwahi kuziskia kuhusu dunia duara zinasema kuwa ukiwa baharini then meli ikiwa inakuja unaanza kuona kule juu ya melei then kadri inavyokuja ndo unazidi kuiona nzima.

Sasa hii inaonesha kuwa kule kuanza kuona upande wa juu wa meli ni ushahidi kuwa dunia duara kwa sababu isingekuwa duara basi tungeiona meli nzima nzima tu paap.

Hili likoje .?
Yani ni ardhi tambarare ambayo ni duara lakina sio mpiraView attachment 1335117

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes kama sio direct flight lazima itue warefuel ndo iendelee na safari

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wakitakua wametua wapi abiria woootee ndani ya ndege wasijuile... ivi are you really serious??? Ujue kabisa flight path kutoka dar kwenda zanzibar ni hiii alafu mkatue kigoma huko kurefuel watu wasiquestion?? Na bado useme ni hoax hakuna flight inayotoka dar kwenda zanziba???
 
Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi.Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha,sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitunkinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?. Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara!!Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Rafiki yangu kwenye hii mijadala huwa anaishia kusema "why don't flat earth people just fly around the Earth to prove whether it's flat or not".
 
Flat earthers ni skeptical watu wanaohoji na sio kuburzwa tu au kuletewa kitu off the table na kukubali bila kuhoji,kuhoji ni kushirikisha ubongo na kuona kuwa kuna kitu hakipo sawa .

Ukiangalia angani kila siku unaliona jua linatokea sehemu moja na kuelekea sehemu nyingine na kesho yake ni mchezo ule ule na unaliona kwa macho ni dogo na lipo sawa na mwezi kiumbo japo jua limezidi kidogo.huo mzunguko ndo unatengeneza usiku na mchana pia na seasons tofauti.

Kama unataka documents ujisomehe sawa ntakupa ili uelewe kwa undani.
Ndio maana nilikuambia kama hutojali unielezee hii inakuwaje. Picha tuu au GIF haitoshi bila maelezo.
Ndio nimeona hii, jee hauna maelezo yoyote juu ya hii?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Antarctica ndo hizo kingo na ndo south pole na ndo mzingo wa dunia.
NieleweshWe zaidi kuhusu hizo kingo za barafu.
Kama nakumbuka vizuri hii siri ya hizi kingo inaratibiwa zaidi antarctic pole na hao elites. Kama kweli dunia ni round and flat,kwanini kingo zisiwepo kuizunguka hiyo sahani kote na wanadhibiti ncha ya antarctic peke yake? kUna utofauti gani na barafu za pande nyingine za hii sahani ya dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala halitoshi kuthibitisha mkuu.

Centre of gravity ni wapi mkuu?

Ukisema centre ya kitu fulani kwa mujibu wako manake zipo sehemu za hiko kitu zimebakia.

Centre of gravity ni wapi?
Gravitational pull towards centre of gravity of the earth. Ndio maana mfano jiwe haliwezi kuelea hewani kutokana na mvuto wa gravity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom