The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 826
Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi😃😃.Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha, sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitu kinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?😃😃😃.
Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara! Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Samahani, sijakuelewa vizuri ukimaanishacho. Nitapenda unieleweshe maana ya maswali yako kutoka katika comment yangu.Siyo inaonekana? Wote wanaona tufe. Wote wanazunguka tufe, sivyo?
Kama Dunia ni bapa, unaizunguka namna gani?
Vipi unaona umbo lake jinsi unavyopita juu yake, kuona mapya kila ukiendelea pale yaliyoonekana kama chini ya upeo (horizon)?
Hasa vipi unasurvive ukirushwa juu vile kama hakuna tufe ambalo mashine yako inapaswa kuzunguka, kwa kuzingatia nguvu ya graviti kulingana na kiasi cha mafuta unachobeba??
Tuanzie mwisho huku pale unapotumia akili yako ya wastani... maana kusikia na kuangalia sio jambo gumu sana na bado mengi tutasikia na kuyaona.Nikisikia wanachosema wale waliozunguka Dunia angani au pia kwa ndege: Ndio!
Nikisikia wanachosema hao waliopo juu pale sasa hivi: Ndio!
Nikiangalia picha za kamera za ISS (na satelaiti nyingine): zinalingana!
Nikichungulia habari zote ninazujua kuhusu jambo hili na kutumia akili ya wastani: Ndio.
Mkuu na mimi naomba kitabuAsante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ulisoma political scienceAsante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe spherical geometry inatumika kwenye geodetic studies. Plane table assumption inafanya kazi over short distances.Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
We mshamba NASA imeanzishwa kipindi ambapo warusi washaenda kwenye space zaidi ya mada tatu, washarusha sputnikSatellite ni uongo nikuulize nasa imeanza 1958 satellite je?ukijibu ntakuambia kitu kuwa zipo ila una ushahidi wowote?zaidi sarakasi za NASA za kupotosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani
Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?
Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?
Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?
kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?
Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Nukes are fake?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona umekariri NASA kuna mashirika mengi sana duniani wachina,warusi,wahindi,wafaransa, ESA hadi waarabu nao wanafanya space exploration sasa we kila sehemu NASA tu utafikri ndo shirika LA.duniani Na huku ni LA US tu.
Mkuu unaonekana hauna uelewa Na somo LA map projections.Mnaouliza Sunrise na Sunset ni kuwa Sun linatembea from East to West (Points hizi mlizokaa na kuamua ziwe hivyo).
Hivyo Jua Uanza safari kutoka Mashariki na Kufika Magharibi, Kisha jua la Magharibi huanza safari na Kufika Mashariki.
Mwezi ni mfano wa Rubber Bracelet (Culture/Bangili za Mpira) ambazo wakati wakiza utoa uan'gavu na wakati wa mwanga hufifia.
Upepo ni hutokea from Outer Space (Ulimwengu) na sisi hupata hisia.
Mvua hutokana na evaporation inayoathiliwa na maji na joto. Mfano; Uwapo jikoni umefunika Pressure Cooker, Rice Cooker au Sufuria pressure ya chini usugua juu na kuleta mvuke ambao urudi chini.
Je Iweje nchi za kaskazini na kusini (Hio Uliyopangwa) hupata Snow, Winter, Fog etc?. Ni Uwepo wa nchi hizo katika kingo za dunia ambayo ni made of Ice.
Uwepo wa vumbi ni kutokana na ardhi ya juu ya dunia kutifuliwa au kusongwa na upepo.
Round/Spherical Earthers mbona mnashindwa kutoa ithibati ya ramani zenu?! Ramani ya Spherical na Round Earthers inaonyesha Middle East ni Northern Central ya Dunia na uwepo wa Strait of Hormuz, Persian Gulf na Gulf of Oman, huku mkiskia United States Navy Ships zinaenda katika location hiyo kwa 7 Days from Florida Keys (Tampa au Miami Base).
Ukaribu wa SA (Afrika Kusini) na UK (Uingereza) ni prove dunia siyo Kiazi, Kichwa, Mviringo, Tufe, Chungwa wala Yai!
Ukaribu wa Oceania na Chile, Peru na Argentina huku ukubwa wa so called Pacific Ocean unazidi kujipinga.
Oke! Nile inatwa maji kutoka Lake Victoria (South) na Kupeleka Mediterranean Sea (North) [emoji50]
The World is Flat pure Flat Bense!
Asante mkuu kwa kushare. Hiyo, nikon p1000 inauzwa milioni ngapi!?
Unaamini kipi hapa??Nafurahi umejua who I am,a son of the true God loving and merciful God.