The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ebu tuambie kwanini waliamua kutudanganya
 
Tupe sababu mkuu
 
Hahah kazi ipo ila nadhani antactica ingeachiliwa tuu kwa nchi zote ku-invest
 
Nani apost muonekano OG wa dunia ama Ramani OG za dunia? Nanii

Labda hao CIA, Mossad, KGB, MSS, SIS wanaweza kutuvujishia OG appearance ya dunia hii kutoka ktk data za nchi zao na kutoka ktk satellite zao wanazoendesha.

Tofaut na hapo hakuna atakayekwambia muonekano halisi wa dunia.

Usijiloge kumuamini Muafrika anaeishi afrika aliyekuwa brainwashed by Colonial education et aje akudadavulie kuhusu ili jambo maana nae hana uwakika zaid ya kukutishia tu.

Kama walivyotudanganya kuhusu Ukubwa wa dunia &mabara ndivyo hivyo walivyodanganya kuhusu Solar system na muonekano halisi wa dunia.

Unakuta mtu unaamini dini at the same time unaamini na sayansi kuwa dunia inalizunguka jua ktk mhimili wake lkn dini yako ktk yako wanakwambia

Yoshua 10:13 BHN - Bible.com
Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua

Sas hapo chagua mwenyewe utamuamini nani, huyo Mungu wa dini na kitabu chake, ama hiyo Sayansi fiction ya kukuambia dunia inazunguka wakat hata kwa macho yetu tunaproof what's the wrong.

Chagua wew mwenyewe, na ktk chaguz zako usiwaforce na wengine wakuamin et sabbu ya facts zako ulizotowa, kumbuka kuwa hata hao warushao vyombo angani hawatoi picha OG bila kuzipitisha jikoni zikaongezewe mahanjumati ya kunogesha radha ya uongo.

Dini & Sayanai wote waongo huu ndio Upande wangu Daima na Milele

1643672518263.jpg
 
View attachment 2105849
Shidah hii
 
Watu walijua tangu zaidi ya miaka elfu mbili dunia ina umbo la tufe.
Soma yafuatayo:
Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia".
... (alizaliwa mnamo mwaka 276 KK mjini Kirene wa Libya.)
Wazo la kuwa dunia ina umbo la tufe lilijulikana kabla ya Eratosthenes. Yeye anajulikana kama mtu wa kwanza aliyeweza kukadiria mzingo wake kwa njia ya upimaji.

Alitumia pembe jinsi gani jua linavyoonekana kutoka mahali pawili duniani pamoja na hisabati ya duara.
  • kwanza alihisi ya kwamba umbo la mzingo wa dunia litakuwa kama duara.
  • Wakati wa safari moja alitazama jinsi gani jua liliakisiwa na maji ya kisima kirefu mjini Siene katika Misri ya kusini kwenye saa ya mchana tarehe 21 Juni. Alielewa maana yake ni kwamba mji huu ulikuwa kwenye tropiki ya kansa ya dunia na jua lilikaa kwenye kilele cha anga kabisa siku ile wakati wa mchana. Hii ilikuwa siku ya pekee katika mwaka ambako Jua lilifikia uso wa maji katika kisima hiki. Kwa hiyo alichukua pembe ya jua kuwa nyuzi 90. Alijua pia ya kwamba hali hii itarudia kila mwaka tarehe ileile.
  • aliweza kupima pembe jinsi jua lilivyoonekana kwake Aleksandria tarehe ileile saa ya mchana.
  • alijua umbali kati ya Aleksandria na Siene.
Nyingine ilikuwa hisabati ya duara ya kawaida. Kwa njia hiyo alikadiria mzingo wa dunia kuwa "stadia" 252,000. Hii ni tokeo nzuri sana. Hakuna uhakika alitumia stadia gani; kama alikadiria stadia ya Kigiriki yenye urefu wa mita 185 ingemaanisha mzingo wa kilomita 46,620 ambayo ni kubwa zaidi kwa asilimia 16. Kama alitumia stadia ya Misri za mita 157.5 ingemaanisha kilomita 39,690 ambayo ni karibu sawa na upimaji wa leo.
(Chanzo: Wikipedia, Erastothenes)
Hiz ni nadharia za kusadikika lakn uhalisia kamili hakuna
 
Hiz ni nadharia za kusadikika lakn uhalisia kamili hakuna
Kaka unaishi kwenye sayari gani??? Maelfu ya watu wamona uhalisia wake kwa macho (wanaanga pale juu, marubani wa ndege za mbali).
Wewe unatuma mawazo yako kwa msaada wa intaneti inayopatikana kwa sababu satelaiti zinazunguka dunia.
Mimi naona Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS kinachopita angani kwa kasi inayolingana na maelezo yote. (zamani haikuwepo).

Unataka uthibitisho gani tena? Au unapenda kubishi tu? Basi endelea, furahia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom