Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,340
- 11,085
hahahahahah jua lazama kwenye chemichemi ya matope!Mud aliachia hii dunia mzigo mkubwa sana.
😁😁😁😁🔥
hahahahahah jua lazama kwenye chemichemi ya matope!Mud aliachia hii dunia mzigo mkubwa sana.
KweliNani apost muonekano OG wa dunia ama Ramani OG za dunia? Nanii
Labda hao CIA, Mossad, KGB, MSS, SIS wanaweza kutuvujishia OG appearance ya dunia hii kutoka ktk data za nchi zao na kutoka ktk satellite zao wanazoendesha.
Tofaut na hapo hakuna atakayekwambia muonekano halisi wa dunia.
Usijiloge kumuamini Muafrika anaeishi afrika aliyekuwa brainwashed by Colonial education et aje akudadavulie kuhusu ili jambo maana nae hana uwakika zaid ya kukutishia tu.
Kama walivyotudanganya kuhusu Ukubwa wa dunia &mabara ndivyo hivyo walivyodanganya kuhusu Solar system na muonekano halisi wa dunia.
Unakuta mtu unaamini dini at the same time unaamini na sayansi kuwa dunia inalizunguka jua ktk mhimili wake lkn dini yako ktk yako wanakwambia
Yoshua 10:13 BHN - Bible.com
Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua
Sas hapo chagua mwenyewe utamuamini nani, huyo Mungu wa dini na kitabu chake, ama hiyo Sayansi fiction ya kukuambia dunia inazunguka wakat hata kwa macho yetu tunaproof what's the wrong.
Chagua wew mwenyewe, na ktk chaguz zako usiwaforce na wengine wakuamin et sabbu ya facts zako ulizotowa, kumbuka kuwa hata hao warushao vyombo angani hawatoi picha OG bila kuzipitisha jikoni zikaongezewe mahanjumati ya kunogesha radha ya uongo.
Dini & Sayanai wote waongo huu ndio Upande wangu Daima na Milele
View attachment 2105849
Hizi jazba za kizembe mkuu wanasayansi waongo iko too general hii kauli kwanza. Hapo hapo unatumia simu,pengine kondomu pia. Reality kasoma sayansi mpaka chuo lakini hajaweza kuinvent kitu au kufanya jaribio LA kisayansi anasoma conspiracy, hadi kuna time alileta clip ya YouTube kuwa nukes are fake teh teh. Ukija upande was imani huko kuwa mpole tu ishi kama ulivyopokea na usivunje sheria za nchi unayokaa kama ngumu hama. Usije force kuwa mkristo Saudia utauwawaNani apost muonekano OG wa dunia ama Ramani OG za dunia? Nanii
Labda hao CIA, Mossad, KGB, MSS, SIS wanaweza kutuvujishia OG appearance ya dunia hii kutoka ktk data za nchi zao na kutoka ktk satellite zao wanazoendesha.
Tofaut na hapo hakuna atakayekwambia muonekano halisi wa dunia.
Usijiloge kumuamini Muafrika anaeishi afrika aliyekuwa brainwashed by Colonial education et aje akudadavulie kuhusu ili jambo maana nae hana uwakika zaid ya kukutishia tu.
Kama walivyotudanganya kuhusu Ukubwa wa dunia &mabara ndivyo hivyo walivyodanganya kuhusu Solar system na muonekano halisi wa dunia.
Unakuta mtu unaamini dini at the same time unaamini na sayansi kuwa dunia inalizunguka jua ktk mhimili wake lkn dini yako ktk yako wanakwambia
Yoshua 10:13 BHN - Bible.com
Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua
Sas hapo chagua mwenyewe utamuamini nani, huyo Mungu wa dini na kitabu chake, ama hiyo Sayansi fiction ya kukuambia dunia inazunguka wakat hata kwa macho yetu tunaproof what's the wrong.
Chagua wew mwenyewe, na ktk chaguz zako usiwaforce na wengine wakuamin et sabbu ya facts zako ulizotowa, kumbuka kuwa hata hao warushao vyombo angani hawatoi picha OG bila kuzipitisha jikoni zikaongezewe mahanjumati ya kunogesha radha ya uongo.
Dini & Sayanai wote waongo huu ndio Upande wangu Daima na Milele
View attachment 2105849
Nimekuambia hesabu ni moja ila agenda ya dunia tufe imetengenezwa kuprove big bang na evolution because in flat earth hivyo vitu ni havipo na kweli havipo. The World is a flat plane and not a globe
Sent using Jamii Forums mobile app

Mudi ni noma!! Mmekuwa brainwashed kabisa!!Nani apost muonekano OG wa dunia ama Ramani OG za dunia? Nanii
Labda hao CIA, Mossad, KGB, MSS, SIS wanaweza kutuvujishia OG appearance ya dunia hii kutoka ktk data za nchi zao na kutoka ktk satellite zao wanazoendesha.
Tofaut na hapo hakuna atakayekwambia muonekano halisi wa dunia.
Usijiloge kumuamini Muafrika anaeishi afrika aliyekuwa brainwashed by Colonial education et aje akudadavulie kuhusu ili jambo maana nae hana uwakika zaid ya kukutishia tu.
Kama walivyotudanganya kuhusu Ukubwa wa dunia &mabara ndivyo hivyo walivyodanganya kuhusu Solar system na muonekano halisi wa dunia.
Unakuta mtu unaamini dini at the same time unaamini na sayansi kuwa dunia inalizunguka jua ktk mhimili wake lkn dini yako ktk yako wanakwambia
Yoshua 10:13 BHN - Bible.com
Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua
Sas hapo chagua mwenyewe utamuamini nani, huyo Mungu wa dini na kitabu chake, ama hiyo Sayansi fiction ya kukuambia dunia inazunguka wakat hata kwa macho yetu tunaproof what's the wrong.
Chagua wew mwenyewe, na ktk chaguz zako usiwaforce na wengine wakuamin et sabbu ya facts zako ulizotowa, kumbuka kuwa hata hao warushao vyombo angani hawatoi picha OG bila kuzipitisha jikoni zikaongezewe mahanjumati ya kunogesha radha ya uongo.
Dini & Sayanai wote waongo huu ndio Upande wangu Daima na Milele
View attachment 2105849
Unao uhuru wa kuchagua, lkn haiondoi ukwel kwamba elimu ya dunia pamoja na dini vyote ni uongo mtupu, muonekano wa dunia hii bado ni siriMudi ni noma!! Mmekuwa brainwashed kabisa!!
You are very stupid indeed.nianze kubishana na mtu ambaye hajui chochote na harespect hata kazi za kina erwin Schrödinger, Werner Heisenberg, Max Born and others
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu mathematical function na wave function
Mtu ambaye nikimwambia momentum states is the space of square-integrable ataishia kunibishia
Mtu ambaye nkijaribu kumweleza kwambavectors ni elements of a complex separable Hilbert space
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu eigenstates
Nianze kubishana nae hapa
I will be stupid
Ni duara kwel bt Si kama chungwa, ni kama plate ya duara.Biblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Naomba ufafanuzi kidogo.Ni duara kwel bt Si kama chungwa, ni kama plate ya duara.
Siku hizi za mwisho, yanafunuliwa mengi yaliyofichwa.
lengo langu ni kusema kuwa wakati wanabishana kuhusu dunia ni duara au ni flat... watu kwenye biblia walishasema hayo kama dunia ni duaraNi duara kwel bt Si kama chungwa, ni kama plate ya duara.
Siku hizi za mwisho, yanafunuliwa mengi yaliyofichwa.
Naomba ufafanuzi kidogo.
Shetani ni Baba wa Uongo, anafanya hayo Kwa manufaa yake.Naomba ufafanuzi kidogo.
Ahsante sana.Shetani ni Baba wa Uongo, anafanya hayo Kwa manufaa yake.
Wanasayansi wamekiri, Ili kuzifikia baadhi ya sayari vyombo wanavyotumia itabidi vitumie mamilioni ya miaka kuvifikia Kwa kutumia njia za kibinadamu.
Bt Kwa kuingia Ulimwengu wa ROHO mambo ni Rahisi sana,
Mf, Mtu ANAONA ajali hii hapa, anatamka Yesuuuuu!!! Malaika anatoka Mbinguni anasafiri Kwa sekunde na kumuepusha na Mauti,
Au mchawi anatumia fagio, anasafiri Kutoka s.wanga Hadi USA na kurudi Kwa dk 10, jambo ambalo hata jet haiwezi.
TWENDE KWENYE FACTS.
1. Dunia haizunguki, Bali Imesimama pale pale, Bali Mwezi, Jua ndo vinazunguka.
2. Dunia ni duara iliyo mfano wa pizza au sahani.
3. Dunia ingekuwa Duara, wavuvi Kutoka china wangeweza tumia ndege au wakapiga Kasia Kutoka pwani ya china Hadi Denmark fasta,
Cheki Hilo tufe la uongo la Duara. Bt wanalazimika kuzunguka kupitia Nchi mbalimbali Hadi kuja kufika hapo sababu ni flat Si duara.
4. NYOTA Haina pembe 5, ni duara pia, hata ukiwasha torch, mtu Alie mbali ataona ni pembe 5 wakat Si kwel.
5. Bahari vile vile Si duara kama chungwa, ni flat, kuonekana hivyo ni sababu ya upeo wa macho kuwa mdogo ndomana panaonekana hivyo.
REVEALED: MWANZO 1:4-12,
Bahari juu ya anga mwanzo 1:6,7.
LEVELS HIZO NI KAMA IFUATAVYO:
1. MBINGU.HEAVEN.
2.UKUTA au MWAMBA.
3.BAHARI au MAJI.
4.ULIMWENGU wa GIZA.
5. NYOTA,JUA.
6. MWEZI, SAYARI na MAWINGU.
7.DUNIA Nchi kavu na BAHARI na maji.
8.UKUTA/ MWAMBA.
9. MVUKE au MOSHI.
10. KUZIMU KAVU.
11. KUZIMU ya MOTO.
hizo layers zimekuwa grouped na kupewa tafsiri ya MBINGU 3. Sawasawa na 2 korithians 12:2.
MBINGU ya KWANZA.
Ni hiyo ktk layer ya 11 Hadi no. 8 Palipo na ukuta ambapo juu yanakaa maji ya bahari na Nchi kavu.
MBINGU ya PILI .
ni hapa tulipo, no.7 Hadi 2.
MBINGU YA 3.
Ni hiyo ya juu kuliko zote ambayo ni layer no.1.
Ukitizama Kwa makini, Kuna MWAMBA mgumu au UKUTA unaotenganisha mbingu ya kwanza, ya pili na ya Tatu.
Note:
*Hadi sasa hakuna mwanasayansi aliyevuka universe yaani hawajawahi vuka layer no 6. Jua na NYOTA vilipo hawawezi fika.
*Wa Ulimwengu wa Giza na wachawi hawatoboi layer ya no 2 . Palipo na ukuta au MWAMBA ambapo chini Kuna MWAMBA uliyotunza Bahari juu.
*Utaona baada ya Jua, NYOTA, na SAYARI ktk universe Kuna GIZA kabisa na ULimwengu wa Giza.
*Juu ya Giza Kuna MAJI au BAHARI.
*Na juu ya maji Kuna UKUTA au MWAMBA unaozuia maji yasiingie huko juu.
KWANINI MAOMBI huchelewa sometimes:
Sababu ni kuwa, mwanadamu Yuko chini sana, maombi yanatakiwa yavuke mawingu, yavuke jua, yavuke Ulimwengu wa Giza.
Wapo Malaika wa Giza wazuiao, maombi yapenye bahari ya juu, yatoboe ukuta au MWAMBA Ili yafike MBINGUNI, ni mbali sana.
Ndomana maombi yatakiwa yabadilike yawe MOTO kutoboa vizuizi vyote hivyo, aombaye na aombe muda mrefu afunge na kukesha Ili maombi yafike, ni vita kubwa sana hiyo. Amen
No man can measure it.Is it a like a disc? Tell us the diameter from edge to edge and its height
Is it like a book? Give us the dimensions
AsanteYou are very stupid indeed.
Wenzako wanamwaga hoja wewe umebaki kumwaga madesa uliyokariri secondary school.