Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Hizo long range towers za kunasa dunia nzima ziko wapi , mbona sijawahi ziona wala kusikia zaidi ya minara ya simu?Ndo ujue kuwa mnara unasafirisha hiyo distance na sio satellite,i mean long range towers.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu unakataa basi mkuu amini uaminivyo ndugu acha mimi niendelee kudanganywa. Space X kesharusha rocket kadhaa unasema zinadondoka.Una amini hiyo rocket unayosema ni satellite inasubiriwa baharini idondoke and its a serious talk .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kubali mmeshindwa ingekuwa kama mshale basi lisingeonekana linatoka chini kwenda juu mpaka kati kati overhead then linaset kwa kushuka chini tena. Hapo nadharia ya mshale wa saa inagoma.Hapa ni jua likituacha kwenye mzunguko tunaita sunset likitufata tunasema sunrise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mfano wa Jua kuset kama lingekuwa linazunguka mfano mshale wa saa.
Naona picha ya kwanza umeweka minara ya kawaida tu ambayo umepiga picha kuu tu, hiyo myingine naona umeonesha fibre optics, hiyo minara haiwezi leta signals dunia nzima mkuu.
Nishawapigia wamesema haiwezekani wapigie sasa wewe ulete mrejeshoUnarudisha mpira kwangu, mimi ndo nimekwambia thibitisha kwamba dish la Azam halishiki canada, kama kuwapigia bas wewe ndo uwapigie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema hamsomi science but kuna vitu NASA wanasema na inakuwa kweli mfano ni hizo tarehe za kupatwa kwa mwenzi na Jua, wanakuwa precise mpaka saa na dk.
Mbona hapo hukatai mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo geocentric yako ilishapitwa na wakati.
Hizo long range towers za kunasa dunia nzima ziko wapi , mbona sijawahi ziona wala kusikia zaidi ya minara ya simu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu unakataa basi mkuu amini uaminivyo ndugu acha mimi niendelee kudanganywa. Space X kesharusha rocket kadhaa unasema zinadondoka.
Ndo maana nasema wewe ni pseudo scientist.
Sent using Jamii Forums mobile app
Linazunguka dunia sio kwenye taifa husikaHapo kubali mmeshindwa ingekuwa kama mshale basi lisingeonekana linatoka chini kwenda juu mpaka kati kati overhead then linaset kwa kushuka chini tena. Hapo nadharia ya mshale wa saa inagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesoma na nimetafiti pia nikajiridhisha. Sidhan kama dunia ingekuwa disc hiyo spherical horizon ingekuwepo
Huo ni mfano wa Jua kuset kama lingekuwa linazunguka mfano mshale wa saa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona picha ya kwanza umeweka minara ya kawaida tu ambayo umepiga picha kuu tu, hiyo myingine naona umeonesha fibre optics, hiyo minara haiwezi leta signals dunia nzima mkuu.
Kubali ukatae satellites zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo geocentric yako ilishapitwa na wakati.
Kila kitu cha NASA unapinga unasema unadanganywa lakini nashaangaa hizo tarehe unakubali.
Kama wangekuwa waongo basi hata hizo tarehe wangedanganya
Sent using Jamii Forums mobile app