The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Tumia ubongo kufikiria,na hekima pia inasaidia ,huwezi kuona naamini ni kwanini
Bora tuendelee kusoma mada za kugegedana tu kuliko hizi mada za hovyo kabisa. Tatizo la wasomi wa kibongo hawana mada za maana zaidi ya kutunishiana misuli tu nani yuko nondo kwenye eigenvalue na eigenfuction au socratic tradition. Tunategeme mada kama hizi tupate elimu ya kutosha lakini matusi kibao, msomi gani unamwita mwezako mpumbavu kisa anahoji. Hao mnao waamini bila ya kupinga maono ya classical hiyo quantum ingekuwepo leo. Na huko kutumia lugha ngumu ndio tuwaone wasomi sana? Sijawahi kuona wasomi wa hovyo kama ninyi. Ngoja tuendelee kusoma mistari ya kutongazana kuliko huku mnatuchosha, nimesoma uzi wote sioni chochote cha maana zaidi ya majina ya wanasayansi na hiki unakijua. Shuwaini nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna gravity kuna density ya matter and what makes us contact because we are higher dense,you can measure density but not gravity.
The earth and other massive bodies in space are round sababu ya gravity, Each atom katika body inavutwa toward a single point ambayo ni center. With presence of gravity kama dunia ingekua sahani, naturally ingecollapse kutengeneza duara.

Kusema dunia ni sahani inamaanisha gravity haipo tena kuna aina nyingine ya force ambayo wamegoma kuielezea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama gravity hiyo ni imagination concept kuna density if you are less denser you float higher denser you fall

Kuhusu magma mere mortals kama humanbeings ni ngumu sana kuelewa hili swala ila ipo between crust and anticrust beneath earth yani ni HELL

ISSUE sio calculations we kuvuka southpole nakujionea mwenyewe unataka hesabu gani fatilia operation high jump ya 1946



Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂sema sisi wabongo ni pasua kichwa kweli..
Sasa mkuu unavyomwambia mwenzako avuke aende southpole wewe umevuka lini??

Eti unakuta mtu anasema hii siri ya earth kuwa flati ni ya watu wachache tena powerful..
Sasa wewe mzee baba toka Buza umejuaje siri za watu powerful duniani au unataka kutuaminisha na wewe unatokea familia ya Rockfella??

Mambo ya kwamba chini kuna hell then juu kuna heaven😂😂 ukijichanganya ukakanyaga mirembe huwezi achiwa kamwe..

Watu wamewekeza matirioni kufanya research wakaenda mwezini wakakupigia hadi picha wakakutumia..
Wewe umenunua simu ya laki 5 na bando la buku jero unaanza kupinga mambo yaliyokuwa proved na calculations zote zinafavour round earth.. atleast na wewe fanya research ya maana sio kugoogle na kututumia vipicha kutoka kwenye page za bible.
 
😂😂😂sema sisi wabongo ni pasua kichwa kweli..
Sasa mkuu unavyomwambia mwenzako avuke aende southpole wewe umevuka lini??

Eti unakuta mtu anasema hii siri ya earth kuwa flati ni ya watu wachache tena powerful..
Sasa wewe mzee baba toka Buza umejuaje siri za watu powerful duniani au unataka kutuaminisha na wewe unatokea familia ya Rockfella??

Mambo ya kwamba chini kuna hell then juu kuna heaven😂😂 ukijichanganya ukakanyaga mirembe huwezi achiwa kamwe..

Watu wamewekeza matirioni kufanya research wakaenda mwezini wakakupigia hadi picha wakakutumia..
Wewe umenunua simu ya laki 5 na bando la buku jero unaanza kupinga mambo yaliyokuwa proved na calculations zote zinafavour round earth.. atleast na wewe fanya research ya maana sio kugoogle na kututumia vipicha kutoka kwenye page za bible.
Mi watu wanaohoji hizo research naona wako sawa inaonesha jinsi gani wanatumia akili zao vizuri badala ya kukariri tu. Ila ukija na hoja njoo full, sio unaanza unakijua kitu fulani wewe? Sisi hatiju mnaojua ndio mtuelimishe. Sasa ukianza kunihoji au kunitaka nisiejua si uzwazwa huo?
 
Kaka hili unaweza kulithibitisha au kama una picha tuonyeshe humu.

Kutokuona curvature ndio inaonyesha ya kuwa ukomo wa kifaa ndio umeishia, kwahiyo, hoja ya kuwa dunia ni duara kwa kurejea matokeo ya kifaa hicho bado ina nguvu, sababu nikikuuliza ncha au ukomo wa dunia ni wapi, huwezi kujibu swali hili.
Mnabishana kitu kidogo..Dunia ni Flat land with globe ( round) shape.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ushahidi wote na picha kuonesha dunia duara inashangaza baadhi bado wanamini dunia umbo la sinia. sisemi mengi zaidi ya Mungu awajalie mutumbukie to wherever siku mkifika ukingoni mwa dunia. 😂
 
Just use commonsense for even a second nani kaandika an intact ball is flat that is crazyness.

I told you a flat area according by defining earth is a horizontal plane where things can stay stationary whether in motion or not ,and when are incontact with the plane surface they cant fall front or backwards because its aint your spherical madness.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Where things can stay stationary whether in motion or not"?

What kind of crazy contradiction is that?

Do you even understand what you are writing?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naweza kusema ncha ni imaginary point yeyote unayoweza kuweka at any circular position within a southpole na sio kuwa nani anajua ellites wote wanajua kwasababu ramani zipoView attachment 1334966

Sent using Jamii Forums mobile app
Ncha maana yake ni ukingo ambao baada yake hakuna kingine kwenye hicho kitu husika.

Na ncha sio kweli kwamba ni imaginary point. Kitendo cha wewe kusemani imaginary point kinaonyesha ukomo wa kujua ukomo wa dunia kiumbile ni wapi.

Unaweza kuthibitisha ukweli wa hiyo ramani hapo juu ? Walitumia vigezo gani kuchora ramani hiyo ?
 
Kwa hiyo dunia ina umbo gani...

kama sio sphere kama unavyotuaminisha,, maana yake ni kua kuna mwisho wake

Nichukulie mfano ulivyoweka apo juu kama bakuli.. Je ni bara la artantica tu ndo unaona ndo mwisho wa dunia..??..

Kama yapo wengine.. Mf: south america au hata australia.. Nadhani tungekua tushawai ambiwa kua ukifika sehemu fulani unaona kingo za dunia..





Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello great thinkers,hope you are well in your daily activities,i would like to share with you this topic in respect because i believe it has a real meaning in a human mankind.

To begin many of people know the world is a globe on which is never going to be or happen ,and it never is ,because if you accept the deception then you are deceived and never use your hypothetical sense correctly without further hesitation ..i will provide documents and proofs then the discussion begins ,please use your mind here respectively and think twice...

READ THE FILES FIRST...
and there are alot of evidence that i can provide that even project to MARS is a media stream and is done in hollywood basements to turn peoples mind away from the great lands beyond the south pole/antartica.View attachment 1334468View attachment 1334467View attachment 1334469View attachment 1334470View attachment 1334471

Sent using Jamii Forums mobile app
Mods, unga huu uzushi na ule uzi mwingine.
 
Mnabishana kitu kidogo..Dunia ni Flat land with globe ( round) shape.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio msimamo wangu, na nimewaambia ya kuwa dunia kiumbile ni duara ila kutakana na ukubwa wake na upeo w macho yetu na vitendea kazi tunavyotumia huonekana kama tandiko lililo tandikwa tu yaani tambarale
 
Ongezea naka mechanism tunapataje usiku na mchana,
Bongo ni mchana lakini kwa mzungu ni usiku..
 
Hakuna gravity kuna density ya matter and what makes us contact because we are higher dense,you can measure density but not gravity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida kweli, inaonekana hata wewe bado hujawaelewa wenzako vizuri.
- Unasema kwamba vitu vinafall sababu ya density, density equals mass over volume, and we expect different materials to have different densities, Ngoja nikuulize swali.

Y do things fall at the same rate??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajamshika mtu yeyote ni vile tu siwezi bishana na mtu mjinga

Da vinci kuwa muwazi you know Zurri well 😅

I will waste my energy here

Two weeks ago nlkueleza jinsi nlvyotumia AI kudevelop method flan ya kutibu mtu aliye paralyze mkono
And i was so busy nkakueleza nashindwa hata kukujibu now

Then mtu anakuja kukwambia quantum physics ni ushubwada tu aaah aisee nmemind sana kijana hizi ni dharau wazi wazi
Umepewa uwanja wa hoja unaleta mambo ya namna hiyo?

Kisha unajiita msomi?
 
Nimemaliza comment zote lakini sijaona hoja zenye mashiko, watu wanashinda kuulizana maswali, yaani wanajibu maswali kwa maswali.

Nothing changes IF Nothing changes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom