Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Nimeona sisi kama Watanzania kuna muda tunakubali ripoti za kipuuzi sana zinazotolewa na taasisi za mabeberu kutuhusu.
Hawa @theworldindex wameorodhesha nchi yetu kuwa miongoni mwa nchi ambazo watu wake hawana furaha kwa mwaka huu. Kwenye orodha ya nchi 10 zamwisho sijaona nchi za Italy, Spain, China nk ambazo zinapitia kipindi kigumu mno tangu Covid 19 ianze kuwaburuza
Sisi huku mambo ni shwari kila mtu anaendelea na shughuli, hakuna waliopoteza maisha, uhuru wa kujieleza ni mkubwa (isingekuwa hivi jf ingefungwa) na mengine mengi
Halafu anakuja mtu anasema mwaka 2020 sisi hatuna furaha ukilinganisha na wazungu.
Ifike mahali tuache upuuzi wa kuamini kila taarifa ya wazungu. Ukweli ni kwamba furaha yetu haielezeki kwa kile Mungu anachotufanyia, tumshukuru Mungu kwa kutupatia kila sababu ya kufurahi.
Moderator uzi hauna mahusiano na nyuzi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app