Pole kwa kuuguza, Mwenyezi Mungu awape nguvu na uponyajiSi unajua mwenzio nauguzaa, mgonjwa mwenyewe wa kuogeshaa, kulishaaa, kuandaa chakulaa. Ukubwa jalala. Nikiweza mapema ya hapo nitawaletea muendelezo.
Sasa akiandika anachofanya Linda kila siku ofisini itaisha kweli??!!hiyo ofisi hiyo.... mpaka sasa nimesikia Linda kaingiza voucher tu..,
Na nyie mpunguze u macho juu.....!Huyo HOM naye, wanaume wengine sijui wakoje, bora wamemkomesha na kinanii chake. So immature and inhuman, mtu mwenye roho ndogo si ndo kazi angeacha kama sio na kujinyonga juu. Mungu atusaidie tusije dondokea mikononi mwa predators kama HOM.
Aaah hata kama jamani, ndo ukamuanike mwenzio kwa watu mwee? Kumla tu na kumshit mbona ingetosha sana tu. Afu sometimes sio hata u macho juu, unakuta mtu ka-fall kweli kwa bad boy ndo yanamkuta ya LindaNa nyie mpunguze u macho juu.....!
tatizo wengi macho juu, hawajui ukiingia ofisini kama humo watu wanaweka hadi dau nani atakutafuna kwanza! ku fall my foot! first date unaenda kuliwa kwenye pool kavu kavu #ChupiMkononiAaah hata kama jamani, ndo ukamuanike mwenzio kwa watu mwee? Kumla tu na kumshit mbona ingetosha sana tu. Afu sometimes sio hata u macho juu, unakuta mtu ka-fall kweli kwa bad boy ndo yanamkuta ya Linda
pole sana mkuu mwenyezi MUNGU akutie nguvu ulivuke hilo jaribuSi unajua mwenzio nauguzaa, mgonjwa mwenyewe wa kuogeshaa, kulishaaa, kuandaa chakulaa. Ukubwa jalala. Nikiweza mapema ya hapo nitawaletea muendelezo.
Hahaha daaah tumekoma, basi tutakuwa macho chini sasa hivi jamani. Tumejifunza, ila kutuanika sio utu banatatizo wengi macho juu, hawajui ukiingia ofisini kama humo watu wanaweka hadi dau nani atakutafuna kwanza! ku fall my foot! first date unaenda kuliwa kwenye pool kavu kavu #ChupiMkononi
Tatizo wengi mkitoka vyuoni mkiingia maofisi wanakuwa still 'chicken heads' sasa inakuwa hamna namna lazima mvurugwe akili iwakae sawa! Na mkiahidiwa permanent position baaasi unaona usipovua chupi hutapewa hio nafasi. Wacha mliwe tu akili ziwakae sawa maana hamna namna! Tena huyo HOM kakosea alitakiwa amuachie mwenzie kibingwa sasa yeye anavuruga kabisa!Hahaha daaah, basi tutakuwa macho chini sasa hivi. Tumejifunza, ila kutuanika sio utu bana
Hahhaa RR basi jamani (japo dawa chungu ndo inayotibu), tumeshapata somo la j2. Akili zitatukaa vizuri na u macho juu/ tamaa tutaacha.Tatizo wengi mkitoka vyuoni mkiingia maofisi wanakuwa still 'chicken heads' sasa inakuwa hamna namna lazima mvurugwe akili iwakae sawa! Na mkiahidiwa permanent position baaasi unaona usipovua chupi hutapewa hio nafasi. Wacha mliwe tu akili ziwakae sawa maana hamna namna! Tena huyo HOM kakosea alitakiwa amuachie mwenzie kibingwa sasa yeye anavuruga kabisa!
mtumishi leo chepo ni humu jf,au ulienda alfajili?Hahhaa RR basi jamani (japo dawa chungu ndo inayotibu), tumeshapata somo la j2. Akili zitatukaa vizuri na u macho juu/ tamaa tutaacha.
Si unajua mwenzio nauguzaa, mgonjwa mwenyewe wa kuogeshaa, kulishaaa, kuandaa chakulaa. Ukubwa jalala. Nikiweza mapema ya hapo nitawaletea muendelezo.
Leo Misa hapa hapa mtumishimtumishi leo chepo ni humu jf,au ulienda alfajili?
hebu tuache unatuchosha. Nini ku quote story nzima? ShenzKumamayo! Stori inaendeleaje usiku wa manane?
Mkubwa wajua na tamaa zinawazidi balaa! Sasa wakikutana na wahuni ndio inakuwa hivyo!!!Tatizo wengi mkitoka vyuoni mkiingia maofisi wanakuwa still 'chicken heads' sasa inakuwa hamna namna lazima mvurugwe akili iwakae sawa! Na mkiahidiwa permanent position baaasi unaona usipovua chupi hutapewa hio nafasi. Wacha mliwe tu akili ziwakae sawa maana hamna namna! Tena huyo HOM kakosea alitakiwa amuachie mwenzie kibingwa sasa yeye anavuruga kabisa!