binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,335
- 41,579
ValentineHonestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Hiyo kali,unampa mtu papuchi kisa unamhurumia? We nouma best.Story inaweza ku reflect maisha yako hadi ukatamani kukimbia ujifiche[emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] . I do remember enzi za usichana wangu kuna kaka nilitembea nae kwasababu tu nilikuwa namhurumia na sio kwamba nilimpenda (Ronny) .
Thanks @lara1 what a priceless short story!
Waongopee watoto ukila utaliwaLunch nakula ila kunipata haunipati aiseee......
Sawa..........Waongopee watoto ukila utaliwa
Sawa..........
mwe sasa mbona umeni quote mimi.?Thanks sana Lara I, story zote kali ila Valentine ilikua inagusa hisia zaidi esp the choice of characters.....KLM, Aggy, Angy...etc...
mpaka sasa ivi inapikwa? Au tuchangie kuni wenda moto hautoshiSaa 7, 8 flani ndo naipika so siunajua ndo tunamalizia zitakuwa ndefu balaaa
ShikamooBravo Lara 1 ...you are second to none!
Duh bora mwenzangu umelionaAise Lara umetuburuza huku mwisho! Itabidi tukate rufaa
Hee jamani una roho nzuri.Story inaweza ku reflect maisha yako hadi ukatamani kukimbia ujifiche[emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] . I do remember enzi za usichana wangu kuna kaka nilitembea nae kwasababu tu nilikuwa namhurumia na sio kwamba nilimpenda (Ronny) .
Thanks @lara1 what a priceless short story!
[emoji12] [emoji15] [emoji15]Waongopee watoto ukila utaliwa