Tatizo kwetu ni chochooooooooooNdo hivoo, utamu wa mapenzi umekula kwakeee, kupenda tena hatamaniii, kwanza ana mpango wa kuhama Dsm.
Duh sitaki kuamini ndo imeisha hivi, ila nilihitaji kujua uhusiano wa linda na Rony ulivunjikaje......
Ndio maisha hamna aliekuja duniani kupata shida, basi tu!Hahahaaaaaaa! Nimejikuta tu nachekaaaaa kwa masikitikooo! Umeonaaaaaa! Wanawake we are so predictable.
Hii story ilikua inaisha tofauti kabisa...I am sure Lara you did not plan to end the story that way ila maneno ya watu sijuwi HOM kawaje, sijuwi Ronny kafanya hivi imekufanya ufate mawazo ya watu...
unakipaji sana... keep the good work.
@Lara1 mbona hukujibu PM yangu?
Honestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa![l
Valentine is one hell of a story I like to go through every single day. According to me.
Kabisa hilo lilionekana wazi kabisa dah!!Kwenye tamthilia za Kifilipino Linda angemchagua Ronny, lakini kwenye maisha ya kawaida mwanamke yeyote angemchagua HOM.
Imagine wewe ni Linda halafu valentine ni HOM halafu working class ni Ronny. You know what I mean.Honestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Zote kali ila valentine was something else,ile habari ingine arifuHonestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!