Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ujue nini "Ugliness from inside" has no discrimination, una cheo au huna. Kuna watu hawana hata vyeo ila ni viboro dinda hatari na kuna watu wana hela na wana vyeo but still wapo so gentle. Ronny is "sweet from inside", huyu hata akipata cheo hatobadilika. Akibadilika ni sababu zake tu nyingine but sio kwa sababu ya cheo. Angekuwa mtu mwingine angeshamla mama wa customer care na akapata cheo mapema sana na macho juu wangemuhara. But he has dignity, kaamua yote kheri, ngoja tu niwe mnyonge. Afu Linda kampenda kweli, mbona Joy hakumshobokea?the only thing iunderstand its so so so easy to impress you....jidai mnyonge,mpole gentleman utakula mizigo mpaka uchoke! huyo Ronny mnyonge tu ngoja kacheo kapande kimshahara kiongezeke akopeshwe ki altezza ndio mtajua true colors!
itabidi nikutafute pm kuna kitu nataka kukuuliza kama hutajaliWe bana unatuchosha sasa... Usiwe una quote story nzima,
you are too theoretical.....sikuwezi.Ujue nini "Ugliness from inside" has no discrimination, una cheo au huna. Kuna watu hawana hata vyeo ila ni viboro dinda hatari na kuna watu wana hela na wana vyeo but still wapo so gentle. Ronny is "sweet from inside", huyu hata akipata cheo hatobadilika. Akibadilika ni sababu zake tu nyingine but sio kwa sababu ya cheo. Angekuwa mtu mwingine angeshamla mama wa customer care na akapata cheo mapema sana na macho juu wangemuhara. But he has dignity, kaamua yote kheri, ngoja tu niwe mnyonge. Afu Linda kampenda kweli, mbona Joy hakumshobokea?
Hahaha ukuje tu nikuoneshe practical teh.you are too theoretical.....sikuwezi.
Haa haa ila siku mnyonge akipata makali hizo tambo zake sasa hatareee[emoji12]Wenye kisu kikali ndo wanakula nyamaaa.
Eeeh kwanza mwingine angekuacha unafikiri na hivi umejipeleka mwenyewe machinjoni. Au hapo Linda alivyomkasirikia mwingine ndo angeshukuru na hivyo kashakukula, akubembelezee nini sasa?
Daah ndo maana kuna muda unaanza kujiuliza hivi fulani mbona yupo na kale ka mtu hata hawaendani jamani, mweee kumbe some people are too sweet to resist. Ronny anajua kujinyakulia mipoints, he is a gentleman indeed [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji182] [emoji182]
Ooooops how sweet!!!You remind me of me!
Ujue nini "Ugliness from inside" has no discrimination, una cheo au huna. Kuna watu hawana hata vyeo ila ni viboro dinda hatari na kuna watu wana hela na wana vyeo but still wapo so gentle. Ronny is "sweet from inside", huyu hata akipata cheo hatobadilika. Akibadilika ni sababu zake tu nyingine but sio kwa sababu ya cheo. Angekuwa mtu mwingine angeshamla mama wa customer care na akapata cheo mapema sana na macho juu wangemuhara. But he has dignity, kaamua yote kheri, ngoja tu niwe mnyonge. Afu Linda kampenda kweli, mbona Joy hakumshobokea?
Aaahhh! !! Mentor [emoji23] [emoji23]You remind me of me!
Come on! Altezaza kwa Nissan?the only thing iunderstand its so so so easy to impress you....jidai mnyonge,mpole gentleman utakula mizigo mpaka uchoke! huyo Ronny mnyonge tu ngoja kacheo kapande kimshahara kiongezeke akopeshwe ki altezza ndio mtajua true colors!
Nitakucheck kubwa la maaduiThank you! Namba ninayo wewe ukitaka kuchangia bundle nione pm.
kwani mnajali? tunawabutuaga wenye range rover kwa verossa itakuwa xtrailCome on! Altezaza kwa Nissan?
We are all humans, it's not easy kuona baadhi ya vitu kwa macho yetu tu ya kibinadamu. .. but kwa neema na uwezo wa Mungu Inshallah tutafika tu salama. BTW everyone has a past, ni kitu cha kumshukuru Mungu kama umeweza kubadili zile njia mbaya mapemaI've been a bad boy at some point in my life - an am not proud of it, EVER - but I had two principles; NO MARRIED LADIES (no matter what!), NO STUDENTS (form six kushuka chini)...wengine wote twende kazi!
Baadaye nikaja kuja na theory, "It's easy being a gentleman when single" (Try being so with one woman for a year...then u r a true gentleman!)
MY POINT: Beware of them 'bad boys' in good boys' skin!!!!!!!
Ewaaaa...point yangu hapa huyu kijana akipanda kidogo tu apate angalau ki altezza ataanza mapepe na videmu vingine na unyonge utamuisha Linda ataisoma namba, yaani namsimulia mwenye stori yake stori itakuwaje mbele! not fair lara 1 tuachie wasomaji tujadiliH
Hahaaaa! Apo tunasema kuna other contributing factors sio other factors remaining constant Alteza imbwage Nissan
Aaahhh! !! Mentor [emoji23] [emoji23]
You mean you you. .....
You are like Rommy? ??
Good for you man.
mapema[/QUOTE]We are all humans, it's not easy kuona baadhi ya vitu kwa macho yetu tu ya kibinadamu. .. but kwa neema na uwezo wa Mungu Inshallah tutafika tu salama. BTW everyone has a past, ni kitu cha kumshukuru Mungu kama umeweza kubadili zile njia mbaya mapema
Jamani Itabidi tuelekezane ni namna gari haya ma usafiri yana contribute ktk kuwatafuna hawa watoto,maana sijui ni udomo zege au ni nn maana mtu ana drive usafiri wa maana na still ana ng'aang'aa macho mjini...kitaa watu wanajua unasimamia show za maana kumbe bure kabisa...mjue sharing is caring,heb mwageni na huu ubuyu piaH
Hahaaaa! Apo tunasema kuna other contributing factors sio other factors remaining constant Alteza imbwage Nissan
Yeah...been there...sadly! Got abused...got to use!
mapema