The Window Through Which We Look

Ni sawa na tabia ya mtu unavomjudge.
Ukimtazamia kwa ubaya (maybe kwa mazoea yako).....always utaraise negativity tu. Lakini siku ukiamua kuamsha akili na kuzitafakari assumptions zako ndipo utapopata na mwanga.
 
Ni kweli tupu. Its nice to be a positive person.
Na awazavyo mtu ndivyo alivyo. Kuna mtu akikuona unatokea mtaa ambao una gesti kuleee mwisho mawazo yake yote ni kuwa unatokea humo.

How you think of others says a lot about you. Asante kwa ujumbe murua best Fixed Point
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, besti na wewe mfano uliokuja haraka haraka ni wa gesti tu? lol!
sijakuwazia hivyo lakini..... kwi kwi kwiiiiii
ngoja mumeo aje anitafutie kakosa ka kunipumzisha, nitamshukuruje!
 
That was the point.....
tunaangaliaje watu?


Hiyo ndo maana kubwa ambayo wengi hatupendi kuitazamia!
 
ha haaa, besti na wewe mfano uliokuja haraka haraka ni wa gesti tu? lol!
sijakuwazia hivyo lakini..... kwi kwi kwiiiiii
ngoja mumeo aje anitafutie kakosa ka kunipumzisha, nitamshukuruje!

Najaribu kufikiria sauti ya hicho kicheko inakuwaje . . . . LOL!
 
Naungana na wengine, imenipa hadi SHOCK. Sijui ina ukweli kiasi gani ila imekaa karibu sana na ukweli na inafundisha.

Kweli siku zote inategemea umesimama sehemu gani wakati unaangalia jambo (angle of observation).
karibu sana mkuu....
tupo pamoja
 

Woow my dada, nimebarikiwa kupita maelezo.

Ni kweli kabisa, we are not that clean to judge others dirtyness
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…