The Window Through Which We Look

The Window Through Which We Look

Last edited by a moderator:
A young couple moves into a new neighborhood.
The next morning while they are eating breakfast,
the young woman sees her neighbor hanging the wash outside.
"That laundry is not very clean", she said.
"She doesn't know how to wash correctly.
Perhaps she needs better laundry soap."

Her husband looked on, but remained silent.
Every time her neighbor would hang her wash to dry,
the young woman would make the same comments.

About one month later, the woman was surprised to see a
nice clean wash on the line and said to her husband:

"Look, she has learned how to wash correctly.
I wonder who taught her this."

The husband said, "I got up early this morning and
cleaned our windows."


And so it is with life. What we see when watching others depends on the purity of the window through which we look.
Easy to discuss other people, their lives & things that really doesn't even concern us & we tend to forget our windows isn't that clean after all!!

I hope that you have a very blessed day!

[h=5]Kijana mmoja aliyekuwa hana kazi aliamua kutuma maombi ya kazi ya umesenja (office boy) kwenye kampuni fulani kubwa.

Mwajiri alimfanyia interview na kijana akaonekana kuwa atafaa kufanya kazi.Kijana akaambiwa amepewa ajira.

Mwajiri akamuomba kijana atoe email yake ili atumiwe fomu ya kujaza kukubaliana na kazi lakini kijana akajibu kwamba hakuwa na email address wala computer!

Mwajiri akamwambia kijana kama mtu hana email inamaana hayupo duniani, na kama mtu hayupo, hawezi kupewa ajira!

Kijana aliondoka akiwa hana tumaini tena.Hakujua nini cha kufanya kwani mfukoni alikuwa na shilingi 10,000/= tu!

Baadaye aliamua kwenda sokoni na kununua debe la nyanya na kuanza kuwapitishia watu majumbani mwao kuwauzia.

Ndani ya masaa 2 alifanikiwa kupata faida mara 2 ya mtaji wake!Alirudia kuuza mara 3 na akapata sh.60,000/=!

Kijana aligundua kwamba hiyo kazi ndiyo ingemsaidia kupata kipato kizuri ndipo aliamua kuanza kazi mapema asubuhi na kumaliza jioni sana.

Kipato chake kiliongezeka sana hatimaye baada ya muda aliweza kununua mkokoteni, alinunua gari na baadaye akaanzisha kampuni yake ya usambazaji!

Miaka 5 baadaye kampuni yake ikawa moja ya kampuni kubwa sana za usambazaji vyakula. Akaanza kupanga malengo ya maisha ya baadaye ya familia yake kwa kuamua kuwa na bima ya maisha.

Akamuita wakala wa bima na kuchagua bima aitakayo. Maongezi yalipokamilika na kukubaliana, wakala wa bima akamuomba kijana ampe email address yake. Kijana akamjibu kwamba hana email!

Wakala wa bima akamjibu kijana, "Huna email, na umeweza kupata mafanikio makubwa hivi. Unajua ungefanya nini kama ungekuwa unayo email?"

Kijana akashusha pumzi kidogo, akajibu: "Ningekuwa ofisiboi."

UJUMBE: Usikate tamaa kama mambo hayakuendei vizuri leo kama utakavyo. Fursa nyingi bado zinakusubiri mbeleni.[/h]CC: BAK Mtambuzi Filipo.
 
Last edited by a moderator:
Acha kunisingizia wewe mie kwa watu8 ndo nishafika lol na watoto wooote hao na wajukuu tayari hebu pisha kuleeee
524965_521122487938245_752413343_n.jpg


Stop worrying!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom