The West Policy on Libya Vs Putin

The West Policy on Libya Vs Putin

Wakuu,naomba tujadi.Je ni sahihi majeshi ya muungano kuishambulia Libya?Je Africa Unioni inafanya nini?Hebu tujaribu kujadili,kuna sehemu nyingi sana zina waasi Africa kwa nini wasipige siku zote?Naomba tujadili kwa hoja na sio ushabiki

Mkuu hili swali lako ni la kufikiria tu wewe mwenyewe bila hata kuuliza swali.....hivi viongozi wa africa ni wakina nani kuingilia mambo ya libya...kwanza wote viogozi wa africa ni mafisadi tu wapo zaidi kihela.....Pia vile vile hawa wazubgu sio kwamba wameingilia nadhani ungekuwa unafatilia sana news ungeona kama kweli wameingia huko na kwa nini.....maana waliwaambia watu wa AU wachukue uwamuzi na kutoa onyo kwa gadafi kama week 2 hivi walikuwa wanamwambia a stop kufanya hayo mauaji...ila wakaona hamna hata mmoja hata hao AU walikuwa wamekaa kimya kitu ndio maana wenyewe wameamua kuingilia kati......so tufatilie news zaidi inaweza kusaidia kidogo....
 
Inategemea from which angle are you for or contra Gadaffi's attacks. Inaanza na hisia toka moyoni mwako hadi kuharalisha au kuharamisha kichapo cha huyo bwana!
 
Kichapo lazima apewe hapo mbona bado bado sana...yeye si anakiburi sana so watamuonyesha na yeye.....
 
Hata watoke haitosaidia kitu chochote wacha watoke tu.....UK,FRANCE na USA ni mataifa makubwa sana.....
 
Si sahihi, itasababisha vita tu, kwani ni wapi uvamizi wa magharibi ulitokea ukaacha amani? Afghan? Irak? au wapi? ni kweli Ghadafi naye hakufanya haki kwa raia wake lkn kilichotokea ni kama alimwaga ugali magharibi wanamwaga mboga!
 
Sijaelewa lolote hapa, mkuu jaribu kuongeza nyama katika mboga yako usikazanie mifupa tu. Tutaishia kusoma comments za wengine na kufuata misimamo yao!
 
Jibu kwa upande wako wewe unavyoona wewe binafsi bila kujali kama ni mwafrika ama mfaransa,yani kwa kutumia vigezo ambavyo ni universally accepted.
Ndugu yangu kwenye hili swala la Libya hutakaa upate opinions ambazo ni universally accepted and the debate will always be lopsided. kwanza viongozi wa Africa ni wanafiki na wasiokuwa na malengo mazuri juu ya wananchi wao. Kwa upande mwingine wazungu wanaonyesha jinsi ya kusimamia maslahi yao na wanachi wao hata kama ni kwa kumdhulumu mwafrika asiye huruma juu ya mwafrika mwenziwe. Viongozi wengi wa kiafrika ni wafuasi wa Gaddafi kwa sababu kawaweka mfukoni, kwa hiyo lolote atalofanya Gaddafi kwao ni sawa as long as anawafund kama kawa! Kwanza tunasahau kwamba kabla kuwa vita Gaddafi tayari alikuwa anawacheka wenziye wa Tunisi na Misri akiamini kwake hilo haliwezekani, kumbe alijiandaa kutumia kila aina ya nguvu kuwakandamiza watakaothubutu kumpinga?
 
Tatizo la madictator wa iarabu ni kijifagua kupita kiasi! Yaani ukimsikia huyu mzee ghadafi anavyotukana unaweza fikiria ana ubavu! Ni kama alivyokuwa sadam tu.

All in all, haya mataifa ya magharibi yalikuwa na interest zao libya na ni ghadafi mwenyewe ndiye sasa amewapa sababu ya kumwingilia.
 
Sio sahihi hata kidogo wanavyofanya,yaani huu ni ukoloni mpya,waafrika tuungane kwa pamoja kupinga mashambulizi haya yanayofanywa na nchi za magharibi.

Unaamini katika waafrika kuungana kuwapinga madhulumati ya kiafrika. Viongozi wengi wa kiafrika wanatumia rasilimali za nchi zao kwa manufaa yao binafsi! Watawala wa kiafrika hawawezi kutegemewa kutoa maamuzi ya busara kwa wananchi wao zaidi ya maslahi yao na familia zao na marafiki wao.
 
Sijaelewa lolote hapa, mkuu jaribu kuongeza nyama katika mboga yako usikazanie mifupa tu. Tutaishia kusoma comments za wengine na kufuata misimamo yao!
Habari kamili ni kama hii hapa chini, naona Europeans wanataka US ndio ishike uskani.
Deep divisions between allied forces currently bombing Libya worsened today as the German military announced it was pulling forces out of NATO over continued disagreement on who will lead the campaign.

A German military spokesman said it was recalling two frigates and AWACS surveillance plane crews from the Mediterranean, after fears they would be drawn into the conflict if NATO takes over control from the U.S. The infighting comes as a heated meeting of NATO ambassadors yesterday failed to resolve whether the 28-nation alliance should run the operation to enforce a U.N.-mandated no-fly zone, diplomats said.



 
ni sahihi kulingana na sera zao-hii dunia ukiishi kwa kutegemea consensus ya watu wote hutafanya kitu-kumbuka hata vita ya kagera OAU waliilaani na kusema tanzania hatukutakiwa kuwavamia Uganda-tulitakiwa tusolve mambo mezani-je kwa upande wa TZ kipindi kila-tungechukua uamuz wa OAU tungekuwa wapi?
NGOJA GADDAFI APIGWE-HE DESERVES IT
 
Ni sahihi kwa sababu yamepewa dhamana na Umoja wa Mataifa, sasa kama unaona si sahihi basi peleka wazo la kwa nini sio sahihi.
 
Ni sahihi kwa sababu yamepewa dhamana na Umoja wa Mataifa, sasa kama unaona si sahihi basi peleka wazo la kwa nini sio sahihi.

Thank you.....nashangaaa watu wanavyomuonea huyu jamaa huruma...sijui hizo huruma zao zimrtoka watu,...ingewezekana wangemmaliza kabisa huyu katili asiyekuwa na mpango.....
 
Hayo mataifa makubwa yoteyako kwa manufaa yao binafsi.

Kwa hiyo mkuu hatuwezi jua wanaweza wakawa kwa manufaa yao binasi,je ni bora wameingilia kati kwa manufaa yao binafsi na wanawasaidia wananchi wasio kuwa na hatia....au bora wangekaa na kuangalia Gaddafi awauwe wanancho wake bila sababu za msingi??kipi bora hapo???
 
Coalition aircraft have bombarded Libyan government positions in Misratah, as rebels in the western town attempted to hold off Colonel Muammar Gaddafi's forces.

Dozens of people are reported to have been killed by regime heavy artillery and snipers in recent days after the city was encircled by Gaddafi's troops.

The latest air strikes came as RAF Air Vice-Marshal Greg Bagwell said that five days of operations by the allied forces had "taken away (Col Gaddafi's) eyes and ears".

"Effectively, their air force no longer exists as a fighting force and his integrated air defence system and command and control networks are severely degraded to the point that we can operate with near impunity across Libya."

A witness told the Reuters news agency that the shelling in Misratah had stopped after two air strikes on Wednesday.

"Before the strikes, tanks shelled the city... but now they haven't fired a single artillery (round) since the air strike," the Misratah resident said.

Another resident said the strikes had hit an air base and military training college south of the city centre, which pro-Gaddafi forces have been using as their main base for launching attacks on Misratah.

However, a doctor in Misratah told Sky News that the situation remained dire.

"There is no water, no electricity, no communications. Electricity since 10 days, communications since 22 days. Our medical and food supplies have been cut," he said.

"There is no safety, for kids, families, babies. Nobody is safe. The international community should not leave us alone, yesterday we were alone and it was really desperate."

The air strikes were, however, unable to stop the snipers who were reported to have killed at least five people on Wednesday, including a number targeted outside the doors of the hospital.

Meanwhile, a Nato military alliance naval force began enforcing a UN arms embargo off the coast of Libya, under the code name Operation Unified Protector.

Major General John Lorimer said: "(It) aims to prevent arms being delivered to Libya via the Northern Coastal Flank. UK air and maritime forces will assist in this operation."

However, it was still to be confirmed who would be in charge of the no-fly zone with the US looking to step down from its lead role.

Eight nations now have aircraft flying over Libya.

But with several Nato nations wary about the operation, French officials have come up with a plan for a non-Nato supervening political committee to take control, with Arab participation.

US, European, Arab and African officials have been invited to a meeting in Loindon next week to discuss the situation in Libya.

French foreign minister Alain Juppe said the gathering was aimed at showing that the "political piloting" of the international operation in Libya is not being handled by Nato, but by a broader group of countries.

Sky News foreign affairs editor Tim Marshall said: "Talk of Nato agreeing the political overnsight today was overblown. There are too many obstacles with the French, British, Germans and Turks all having different ideas.

"Progress has been made on the arms embargo with Nato ships now patrolling the Libyan coast, but the annoucment of who has political control of the no-fly zone may now not be taken until the meeting in London next Tuesday."

In a public appearance, Gaddafi promised victory against the "unjust aggression" of "fascist" Western powers.
 
In Rare Split, Two Leaders in Russia Differ on Libya
By CLIFFORD J. LEVY and THOM SHANKER

Published: March 21, 2011

MOSCOW — The conflict in Libya caused an unusual rift on Monday between Russia’s two leaders, Prime Minister Vladimir V. Putin and his protégé, President Dmitri A. Medvedev, who typically choreograph their statements and refrain from criticizing each other.

RUSSIA-1-articleInline.jpg

Dmitry Astakhov/RIA Novosti Kremlin, via Associated Press

Dmitri A. Medvedev said words like “crusade,” used by Vladimir V. Putin, were unacceptable when discussing the Libya airstrikes.

  • RUSSIA-2-articleInline.jpg
Denis Sinyakov/Reuters

Prime Minister Vladimir V. Putin of Russia.


Mr. Putin appeared to displease Mr. Medvedev on Monday by harshly assailing the airstrikes by coalition forces in Libya. Mr. Putin said the United Nations Security Council resolution that authorized the attacks was “deficient and flawed.” Russia abstained from voting on the resolution last week, deciding not to use a veto to block it.
“In general, it reminds me of a medieval call for a crusade,” Mr. Putin said.
Mr. Putin is widely considered Russia’s paramount leader, but Mr. Medvedev, as president, is in charge of foreign policy. Later in the day, Mr. Medvedev called a news conference where he pointedly rejected Mr. Putin’s language, though he did not mention Mr. Putin by name
“Under no circumstances is it acceptable to use expressions that essentially lead to a clash of civilizations — such as ‘crusade’ and so on,” said Mr. Medvedev, who spoke to reporters while wearing a bomber jacket with the presidential seal.
“It is unacceptable,” Mr. Medvedev said. “Otherwise, everything may end up much worse compared to what’s going on now. Everyone should remember that.”
The apparent tension between the two men set off speculation about whether they were starting to jockey for attention in advance of presidential elections next year. Both have said that they are considering running, though they have emphasized that they would decide together who would be the candidate and not compete against each other.
Mr. Medvedev referred more positively to the United Nations resolution, saying that it was important to remember that the Libyan leadership had committed crimes against the Libyan people.
Mr. Putin did not offer any response to Mr. Medvedev, and it was unclear Monday night how serious the schism was.
Mr. Putin served two terms as president but was barred by the Constitution from a third consecutive term. He then anointed Mr. Medvedev, a close aide, as his successor in the 2008 election.
The focus on Mr. Putin and Mr. Medvedev on Monday overshadowed a visit to Russia by Defense Secretary Robert M. Gates, who was in St. Petersburg before heading to Moscow for meetings with Mr. Medvedev and other senior Russian officials.
In St. Petersburg, Mr. Gates addressed the next generation of Russia’s military leadership — midcareer naval officers — and urged them to “work with multilateral coalitions to achieve common security objectives.”
 
Yote ni ubabe, mafuta, na sababu nyingine ni kuwa Gaddafi ni tishio kwa Israel.
Swali la kujiuliza. Kwa nini hatuwaoni USA, sehemu nyingine ktk kuleta amani ktk nchi za kiAfrica? Dili yao kubwa ni Mafuta, na interest za Isreal.
 
Back
Top Bottom