mwandishi ana mentality za Kisoviet. Lazima awe biased.
Tukikusifia LEO kwamba una tabia nzuri, KESHO ukionyesha tabia mbaya unataka tuendelee kukusifia?
Jamani hawa Wamarekani ni watu wa namna gani? mbona hawana huruma na biaadamu wenzao? hivi wanaweza kuwa na Uchungu na Walibya kuliko Muamar Gadaf!
Ni wakati muafaka kwa Wafrika kuwa na Siasa za kupendana kwa kuwa kitu kimoja na kuacha binafsi unofanya Raia wanateseka.
Na kama kweli lengo la mataifa ya magharibi ni amani mbona wamekataa ombi la ghadafi kujadiliana?
Mkuu, suala hapa sio kusifiwa au kujaa sifa...
Mpaka hivi sasa tunajadili hili suala kuna:
mgogoro wa Ivory Coast ambao ni wa muda mrefu kuliko huu wa Libya;
mgogoro wa Yemen watu wanakufa kila siku;
mgogoro wa Bahrain mfalme anaua waandamanaji mpaka madaktari na manesi;
mgogoro Saudia Mfalme ametangaza kuwa hataki kuona maandamano na mwenye kuandamana atakiona cha mtema kuni....
Kwanini suala la Libya limekuwa magnified kwa haraka sana kuna nini pale???
Watu wako tayari kutumia mamilioni ya dola kwa kila kombora wanalotupa Libya wakati huko kwao wametangaza budget za kufunga mkanda (mfano mzuri ni Cameron wa Uingereza)....
Tunisia na Misri majeshi yalikaa pembeni na kukataa kudhuru raia wanaowalinda, Ben Ali na Mubaraka wakaondoka kwa amani, yeye kajifanya mbabe kwamba yeye ndio pekee anayeweza kuiongoza Libya kwa mafanikio utadhani yeye ni wa kuishi milele akaanza kuwamiminia risasi na mabomu raia, na ndio sasa wababe wakapata pa kuanzia. Now the question remains, "shem on who??"
The whole coalition's mission is a big flop..we subiri uone mwisho wake, rebels wataachwa kwenye mataa!
be blessed.
Jibu kwa upande wako wewe unavyoona wewe binafsi bila kujali kama ni mwafrika ama mfaransa,yani kwa kutumia vigezo ambavyo ni universally accepted.Ni sahihi.......lakini ni sahihi kwa upande upi......wa mataifa ya magharibi
au mataifa ya affrika.
Mataifa ya magharibi na marekani ni sahihi sana kwakuwa lengo ni kupata
rasilimali kwa uchumi wao,ni kwasababu umeuliza kwa wabongo wenzako
lakini kama ungemwuliza mfaransa angejibu tena sahihi mno ni hii ni kwasa-
babu wananufaika na uvamizi ule.
Mataifa ya afrika si sahii kwa ule uvamizi kwa maana wanaokufa libya
ni waafrika wenzetu na kwa asilimia ndogo libya imechangia katika uchumi
wa afrika lakini ni nani atahoji juu ya uvamizi ule na ikiwa bajeti zetu kwa
asilimia kubwa tunategemea kwenye mataifa hayo.
Wakuu,naomba tujadi.Je ni sahihi majeshi ya muungano kuishambulia Libya?Je Africa Unioni inafanya nini?Hebu tujaribu kujadili,kuna sehemu nyingi sana zina waasi Africa kwa nini wasipige siku zote?Naomba tujadili kwa hoja na sio ushabiki