The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha ha!
Kawa bubu ghafla.
Cheza na Ushoga wewe!

Huyu Ubungoubungo atabadili chupi mpaka ziishe! Lkn comments zimeisha!

PAPA Katia nanga sehemu chafu mno!
Hatoki tena!!!!


Kuna rafiki yangu padre nimemtumia habari hii kanitukana Sana lakini baadae alivyoingia kwenye very reliable sources kanipigia kuomba msamaha...

Haya mambo yameanza mda mrefu Sana nakumbuka tukiwa wadogo kuna rafiki yetu alilawitiwa na katekista kwenye mafunzo ya kipaimara....
 
Last edited by a moderator:

Duhh! Hawa jamaa ni balaa!

Mungu awapige radi.
Wanatysababushia Sunami za bure tu.
 
Kwa mtu asiyekuwa na akili atakwenda na maji. Ila ushoga haupo na hautakuwepo roman catholic. Kama umesoma vizuri utaelewatu. Ila ukikurupuka utaenda na maji.
Oyah mkuu! Sijaelewa, kwahiyo kanisa letu ndio linakua lamashoga? Yani wachungaji mashoga mashoga, nasisi waumini tuwe mashoga? Ah ah aaa nakataa, mi nahama dini. Imani zakupelekana kwenye mambo hayo siyataki.
 
What do you get when you lie?
 
Oyah mkuu! Sijaelewa, kwahiyo kanisa letu ndio linakua lamashoga? Yani wachungaji mashoga mashoga, nasisi waumini tuwe mashoga? Ah ah aaa nakataa, mi nahama dini. Imani zakupelekana kwenye mambo hayo siyataki.


Papa Francis analipeleka kanisa kubaya Sana

Cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Itajadili vipi kitu ambacho mungu amekataza kwa hiyo unajadili kuona kama mungu kakosea tuweni makini dini ina ingiliwa tusijikute tina misimamo na dini kumbe tuna potoshwa dini haina mtu mwenyewe ni kristo hao wengine hawa wezi kutengua chochote
Sasa wenye dini yao washaamua hivyo, wewe uliye letewa tu unaanza ku lecramar, kwanini?
 
Watu wanataka kupotosha umma. Mkutano wa Sinod hauwezi kubadili msimamo wa Kanisa. Nimesikiliza habari sasa hivi Vatcan wamepinga tamko hilo.
 
Binafsi bado natafakari kuhusu conspiracy theorists nazo zisikia kuhusu huyu M-jesuits.. lets wait and see

Could it be the completion of dirt work started during Vatican II? The pace was slowed down especially by John Paul II...now I wonder what the hell is going on!!!????
 
Watu wanataka kupotosha umma. Mkutano wa Sinod hauwezi kubadili msimamo wa Kanisa. Nimesikiliza habari sasa hivi Vatcan wamepinga tamko hilo.

Watu akina nani? Unaweza weka source ya taarifa yako??

Hakuna kazi ngumu Kama kupambana na ukweli...
 
Mkuu nakuheshimu Sana unaweza kusema nimedanganya wapi? Mi mkristo usifikiri nimefurahishwa na hii kitu...

Again nimedanganya wapi??
These claims are not authentic. Hivi huyo mtoto aliye lawitiwa alikwenda Polisi na kujaza PF3? Tunaweza ipata hiyo PF3? Je, wazazi wake walifanya nini baada ya kusikia kuwa mtoto wao kalawitiwa?

Jamani tume makini tunapo weka post. Maana huwa zinalete maswali mengi sana.
 

Sasa hapo wewe unachobisha nini?

Mbona hizo nakala za pf3 na hayo maswali hukuuliza kabla ya kucloclude kuwa mi muongo?

Umepanic? Relax....

Hii habari ni yakweli ukitaka kaulize pale kanisa katoliki kibaha na Huyo katekista alifukuzwa kazi baada ya kubainika ni kweli...

Unakataa kuwa haya mambo hayapo? Rejea link ya Nyani Ngabu hapo juu...

Mkuu mbona kwenye Yale mambo ya waislamu unajitutumuaga Sana?? Vipi hapa mbona unagwaya Sana?

Zile post unazowekaga hazileti maswali?? Kama unataka mijadala uwe free kupokea lolote unalopenda na usilopenda.....
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tafautisha baina ya uislam na waislamu, uislam upekataza ubaradhuli na umeaka azabu ya kifo kwa mfanyaji na mfanywaji, hivyo ukiona baadhi ya waislamu wanapractice ujue wameenda kinyume na uislamu, lkn kwa kuwa uslamu hautawali kwa wakati huu, hakuna adhabu inayotekelezwa, it why always kuna vita baina ya waialamu wanaufuata au wanaodhamiria kuufuata kijamilifu kwa kufuata sharriah, na waislam wanafik na wasiokuwa waislam, so dunia haitokimuwa ya amani milele kwani giza na nuru havikai pamoja, dunia itatulia mpaka nuru (uislamu utakapo tawala kimapokeo), na wale wote (waialamu waukweli) watapata tabu katk dunia hii, kwani wasio waiskamu na waislamu wanaofuata matananio yanafsi yao hawapo tayari kuruhusu shariah kutekelezwa kwani inaenda kinyume na matakwa ya nafsi za watu, it why kikundi chochote chenye nia na mijakati ya kutekeleza uislam kitakuwa adui wadunia nzima.
Ukiristo ni dini ya bibaadamu kwa hio ipo dynamic but islam main sharia is static and if you apply in solve problem the same result will be achieved regardles african, europe, hindu etc.
But nafasi zetu hazipendi kuzuiwa na kitendo au matendo tanayopendwa na nafsi zetu
 
It is the responsibility of the claimant to prove his/her claims. I was not even supposed to ask for those documents at the very first place. My post declaring unveracious and questioning the authenticity of your claims, was enough for you comprehend that you did not support your claims with provable and verifiable evidence.

I don't care about the dude you mentioned. His/her post is bogus and may cause mental illness to readers.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…