The US Presidential Elections-2012

du ina maana hawajawahi kuerect?aisee wanawake wa huko walikua wanapata taabu
 


View attachment 70471View attachment 70471
 

Hata angekuwa Romney angemwua Gaddafi pia.
 



lol ... we!.. niveasikuelewe bana ... ur flip-flopping faster than an american presidency candidate two days before the erection..
heheheeh njiwa inaonyesha wewe ni bingwa wakuerect kila siku usiku na mchana hasa kule jukwaa la siasa na mada za udini ee karibu kule chit chat na MMU utaerect kila sekunde
 
Last edited by a moderator:
Acha wenge wewe, huyu kenge blue hana msaaada wowote kwako, kwao kenya or even in Africa. Umsifia unadhani babaako eti kisa rangi..!
 
Safari_ni_Safari TUANDAMANEE MODS WAMEHARIBU HEADING YA THREAD YETU TUKUFU YA ERECTION HAHAHAH
 
Last edited by a moderator:
wewe utakuwa uamsho,obama aliuawa na walibya wenyewe ambao gadafi aliwait wadudu na gadafi alianza kuua raia wake,alivuna alichopanda,sasa unamsingizia obama

Kuwa mwangalifu mkuu OBAMA hajauawa bali aliyeuawa ni Gadafi
 
wewe utakuwa uamsho,obama aliuawa na walibya wenyewe ambao gadafi aliwait wadudu na gadafi alianza kuua raia wake,alivuna alichopanda,sasa unamsingizia obama

Tatizo hujui siasa za Dunia, Ghadafi aliuwawa na NATO na hili ni jeshi linaloongozwa na US na Commnder in Chief wa US army ni Obama sasa unakataa nini?!! you think wale wahuni wangeweza kumuua yule kamanda bila msaada wa hawa wanywa damu?!!! u cant be serious!! Hii ni nchi ya laan hata ungesema unaipenda ni sawa na kupenda mauaji ya mamilioni ya watu wanaouwawa kila uchao duniani kote!!! thats a shame...
 
Machozi ya Unafiki tu analilia madaraka shame...
 
Mna lalamika sana! aliyekuambia Obama kamuua Gadhafi ni nani mkuu!? na aliyekuambia kama rais angekuwa Romney angemtetea Gadhafi ni nani??? Toa sababu nyingine za chuki kwa huyu genius lakini sio hiyo mkuu!

Soma vizuri thread yangu, usitoe povu tuuu..mimi sijasema Romney anafaa, rudia kusoma wala hakuna sehem nimesema Romney asingemuua Ghadafi!!! povu linakutoka bila sababu, nilichosema US is all the same come Obama au Romney na mm kama MTanzania nina mambo ya msingi ya kusaidia nchi yangu US politics have nothing to do kwenye maisha yangu....YES he killed Ghadafi i hate him...
 

Kwani Gadaffi alikuwa shemeji yako hadi ulalamike hivyo? Maana watu wanapenda kujipendekeza kwa shemeji zao kwa vitu vya mteremko! Fanya kazi achana na ombwe la kupewa
 
Hata angekuwa Romney angemwua Gaddafi pia.

Sasa watamuua nani?!! wambie basi waipige Iran ndio imebaki au North Korea kama wana jeuri..Waafrika hamnazo kabisaa...
 
Shedding tears ..!! Oppss!! Means what ... ? strength or weakness ... I bet the guy isn't going anywhere this!!!
 
Sasa watamuua nani?!! wambie basi waipige Iran ndio imebaki au North Korea kama wana jeuri..Waafrika hamnazo kabisaa...

Hapo kwenye red upo sahihi kabisa maana kama wewe ni Mwafrika na ulikuwa nazo wala usingeandika uliyoandika mwanzoni.

Ulidhani kuwa kwa vile Obama ana asili ya Kiafrika basi angewalinda madikteta wa Africa?

Pia inaonyesha hata kama Romney akishinda na kuwapiga Iran, bado utalalama pia.

Unasema ni-"wambie basi waipige Iran ndio imebaki au North Korea kama wana jeuri".

Niwaambie akina nani? Wewe si umesema Obama ndiye aliyemwua Gaddafi?

Sasa unageuka fasta na kudai ni Wamerekani? Where do you stand?

Kama hupendi kilichotokea Libya, then laumu the American foreign policy not individuals who carry out the policy.

Maana hata kama Kikwete au Slaa angekuwa rais wa Marekani, they would have done exactly the same.

Wabongo kweli hamnazo kabisaa. Too much shallow thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…