The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

121022-third-debate-foreign-policy.jpg
 
Obama yupo kwenye track nzuri zaidi kushinda Debate ya leo.Suala gumu litakalompotezea muda wake mrefu ni namna ya kutoa ufafanuzi kuhusu mashambulizi ya sept/11 kule Benghazi - Libya.Duru za kisiasa zinaonyesha kuwa Utawala wa Obama ulisema Uongo siku moja baada ya Shambulio lile kwa sababu za kisiasa.Hata hivyo Waziri wa mambo ya Nje na Rais Obama wamesema wapo responsible kwa yote yaliyotokea Benghazi.
Kwangu Mimi suala gumu na la kuulizwa kwa dhati usiku huu ni kuhusu Syria.Ni mwaka sasa toka 15/march/2011 vurugu za Syria zimeanza na jumla ya watu 45,000 wasio na hatia wamekwishapoteza maisha,bado jumuiya ya kimataifa imefanya juhudi ndogo za kutafuta suluhu kwa ugomvi huo?Nini kauli ya Obama/Romney kuhusu mgogoro huo?
 
slide_258259_1671968_free.jpg





r-PRESIDENTIAL-DEBATE-2012-huge.jpg



Wana JF,

Hivi debate ya Obama vs Romney huko Florida itafanyika saa ngapi kwa masaa ya Kitanzania? Ni link gani naweza kuona debate ya hawa mafahari wawili live?
 
Wana JF,
Hivi debate ya Obama vs Romney huko Florida itafanyika saa ngapi kwa masaa ya Kitanzania? Ni link gani naweza kuona debate ya hawa mafahari wawili live?
Get ready! its about to start now
 
Obama anaongea kwa akili sio Romney anabuni mambo hahahah.... napata raha kumwona Obama akionyesha intelligence yake...huyu mtu ana akili. Cheza na Muafrika weye!!!
 
slide_258259_1671966_free.jpg


BOCA RATON, FL - OCTOBER 22: U.S. President Barack Obama (R) debates with Republican presidential candidate Mitt Romney as moderator Bob Schieffer of CBS looks on at the Keith C. and Elaine Johnson Wold Performing Arts Center at Lynn University on October 22, 2012 in Boca Raton, Florida. The focus for the final presidential debate before Election Day on November 6 is foreign policy.
 
Imeanza 4.00 pm ( saa za afrika mashariki ) , debate itachukua saa moja na nusu hivi, main topic FOREIGN POLICY.

1. swali la kwanza ni kuhusu middle , maandamano etc

2. swali la pili sasa linahusu Syria
 
Lol,romney

Romney kabaki anashabikia facts za Commander in Chief...hii debate ni ya Obama kupoteza mwenyewe.
So long as you are the sitting President, you should have a upper hand on these matters.
 
sasa hii ya kurudi home itamsumbua, angebaki na foreign policy

haya ya kuajiri walimu nk yanadivert debate
 
Back
Top Bottom