Nina wasi wasi kusema kuwa Obama ana hali mbaya sana. Hana ubavu wa kuhimilri mikiki mikiki ya wizi ya mwisho ya uchaguzi kwa vile hela yote ya wachimba makaa ya mawe, wachimba mafuta, walangua fedha wall street na matajiri wngin kupitia kuwenye superpacs mbalimbali watamashambulia sana na sidhani kama atahimiri. Ilitakiwa sasa hivi awe anaongoza polls kwa point 10 kusudi mshambulizi hayo yakianza ndipi atelemka hadi point mbili au tatu. Kwa hizo points chache alizonazo, hatafurukuta.
Time will tell
Hata Sanatorum alipokuwa wakiondoza kwenye primary kwa point mbili au tatu, zilikuwa zinafutwa zote katika dakika za mwisho mwisho kutokana na pesa hizo za hao jamaa kumwaga matangazo ya TV na akulipa wapiga vumbi kuzunguka mitaa yote ya mji wakimnadi Romney!
Sasa hivi ninaona kama vile urais wa Obama umekwisha! Alivurunda sana debate ya kwanza ambayo ndiyo iliyofufua kampeini ya Romney.