Jambo ambalo wengine tusingependelea,ni kama watu wa Obama wataanzisha vita kwasababu wanajuwa kuwa ikija kwenye security,basi Obama yuko juu especially mara baada ya seal 6 team kumwua Bin Laden kwa amri yake...Tuombe Mungu hilo lisiwe the case kwasababu vita always si nzuri,lakini tumeshashuhudia mambo kama hayo yakitokea.
Tuko pamoja kwenye hilo,kama ikionekana issue ya economy inaweza kumlet down,wanaweza wakafanya hivyo watu wake.Kuna report nimesoma inasema Iran's nuclear plants are at the highest level of activities, hii inanipa sababu za kuamini kuwa October Surprise itatokea kwa Obama kulipua vinu vya nuclear vya Iran, kama polls zitaonesha mambo magumu upande wake. Tusubiri tu ila nina wasiwasi na hilo. two weeks before election Iran itapata kichapo cha ghafla.
Don't underestimate the Chicago political machine.Republicans wana spin machinery yenye nguvu sana, wakati Obama na Democrats wako passive sana na ndiyo maana walinyang'anywa Congress mwaka 2010.
Republicans this time wamepania aisee!nadhani hizi kampeni zita turn realy dirty as days goes on.Ile issue ya kiti ya Eastwood inatafsirika kwa namna nyingi sana.Kwanza miaka ya nyuma ndo ilikuwa racial stunt ya an "invisible blackman",ila sidhani kama watu wa Obama wata capitalize on that.Yaani Obama a pull an October surprise two weeks before the elections halafu electorate ya Marekani isitambue kwamba hiyo ni chicanery na stunt tu ya ku divert attention kutoka kwenye hali mbaya ya kiuchumi ili tu apate kuchaguliwa tena ili aendelee kupanda Airforce One na kukaa 1600 Pennsylvania Avenue....daima nitawadharau Wamarekani.
Like Mia Love said, Americans aren't buying what he is selling and I say Americans aren't going to be bamboozled by a military attack on Iran just a few weeks removed from a general election.
Na akishindwa tayari najua narrative itakuwa nini: racism. Mark my words.
Hilo la dirty campaign nakubaliana nalo.Lakini hao msnbc hata kama ni kweli wanaona issue zina racial undertones,kuna ukweli pia kwenye hayo kwasababu Romney campaign ni lazima waifurahishe base(kama unavyojuwa alistruggle for one reason yeye ni a mormon).Na pia kuwa please wale ma "far right nuts" na tea partiers.Kama wanataka kura za wale wanaoamini Obama si mmarekani nk.Kusema ukweli na tukiweka ushabiki pembeni, mtu huwezi kusema eti ni GOP tu ndiyo wana play dirty. Pande zote mbili zinashiriki katika hilo.
Na sijui kama unaangaliaga MESSNBC....yaani hao jamaa wako so hung up on racism kiasi kwamba kila criticism ya Obama wao wanaiona kuwa ina racial undertones.
Na pia sijui kama umegundua kuwa ile enthusiasm ya 2008 safari hii kushi nehi.
Kusema ukweli na tukiweka ushabiki pembeni, mtu huwezi kusema eti ni GOP tu ndiyo wana play dirty. Pande zote mbili zinashiriki katika hilo.
Na sijui kama unaangaliaga MESSNBC....yaani hao jamaa wako so hung up on racism kiasi kwamba kila criticism ya Obama wao wanaiona kuwa ina racial undertones.
Na pia sijui kama umegundua kuwa ile enthusiasm ya 2008 safari hii kushi nehi.
Mkuu toka walipomkwamisha kwenye kupitisha issues kibao kwenye "house",ambazo zingemake a huge difference,naamini that they're capable of doing anything kama wakipata nafasi hiyo,kwasababu wamemsabotage in every possible ways.Hata licha ya kwamba Bush taxes bado zilikuwa applicable na pia lawful,bado hawakutaka kuinvest.Yani wanamchukia jamaa haswa.Ila ukweli GOP wako negative sana na wanasema uwongo sana, na hawataki kumpa Obama credit yoyote anayostahili.
Alipoamua kutuma majeshi kwenda Pakistani kumwua Bin Laden katika mazingira yaliyokuwa yamejaa uncertainty; wao wanadai "any president could have done it", aliposaidia viwanda vya magari kiasi kuwa leo Ohio na Michigan zanaanza kunafanya vizuri kiuchumi, wao wanadai kuwa hayo ni matokeo ya ya Republican Governors. leo hii Marekani inachimba mafuta na gesi kuliko wakati wa utawala wowote uliopita, wao wanadai Obama anazuia marekani ishichimbe mafuta na gesi. Aliposema kuwa tutasimamia Medicare ili kuzuia matumizi mabovu ya dola bilioni 716 ambazo huwa zinaliwa na makampuni ya insurance, halafu pesa hizo zifanye jambo jingine, waoa wanadaia Obama amchukua dola bilioni 716 kutoka Medicare.
Ila kwa vile wamarekani wengi hupiga kura kwa kufuata upepo, inategemea sana upepo utavumia wapi. Huwa hawachambui facts. Tusubiri tarehe 15 October ndipoi tutajua upepo unavumia wapi, ingawa kweli nina wasi wasi sana kuwa Obama atazimiwa Oksijeni, kwa vile spin machinery ya GOP ikisaidiwa na Fox News iko well equipped kwa zaidi ya dola trilioni tatu za kumvuruga Obama tu. Superpacs zao zina fedha nyingi na zinaendelea kuvuta fedha zaidi kutoka kwa mamilionea, Fundrising zao za sahani moja kwa dola elfu hamsini zinaleta fedha nyingi sana kutoka kwa mamilionea hao hao, na sidhani kuwa Obama anaweza kushinda uchaguzi Marekani akiwa underfunded!
Yaani Obama a pull an October surprise two weeks before the elections halafu electorate ya Marekani isitambue kwamba hiyo ni chicanery na stunt tu ya ku divert attention kutoka kwenye hali mbaya ya kiuchumi ili tu apate kuchaguliwa tena ili aendelee kupanda Airforce One na kukaa 1600 Pennsylvania Avenue....daima nitawadharau Wamarekani.
Like Mia Love said, Americans aren't buying what he is selling and I say Americans aren't going to be bamboozled by a military attack on Iran just a few weeks removed from a general election.
Na akishindwa tayari najua narrative itakuwa nini: racism. Mark my words.
Why is it always about race?
Ila ukweli GOP wako negative sana na wanasema uwongo sana, na hawataki kumpa Obama credit yoyote anayostahili.
Alipoamua kutuma majeshi kwenda Pakistani kumwua Bin Laden katika mazingira yaliyokuwa yamejaa uncertainty; wao wanadai "any president could have done it", aliposaidia viwanda vya magari kiasi kuwa leo Ohio na Michigan zanaanza kunafanya vizuri kiuchumi, wao wanadai kuwa hayo ni matokeo ya ya Republican Governors. leo hii Marekani inachimba mafuta na gesi kuliko wakati wa utawala wowote uliopita, wao wanadai Obama anazuia marekani ishichimbe mafuta na gesi. Aliposema kuwa tutasimamia Medicare ili kuzuia matumizi mabovu ya dola bilioni 716 ambazo huwa zinaliwa na makampuni ya insurance, halafu pesa hizo zifanye jambo jingine, waoa wanadaia Obama amchukua dola bilioni 716 kutoka Medicare.
Ila kwa vile wamarekani wengi hupiga kura kwa kufuata upepo, inategemea sana upepo utavumia wapi. Huwa hawachambui facts. Tusubiri tarehe 15 October ndipoi tutajua upepo unavumia wapi, ingawa kweli nina wasi wasi sana kuwa Obama atazimiwa Oksijeni, kwa vile spin machinery ya GOP ikisaidiwa na Fox News iko well equipped kwa zaidi ya dola trilioni tatu za kumvuruga Obama tu. Superpacs zao zina fedha nyingi na zinaendelea kuvuta fedha zaidi kutoka kwa mamilionea, Fundrising zao za sahani moja kwa dola elfu hamsini zinaleta fedha nyingi sana kutoka kwa mamilionea hao hao, na sidhani kuwa Obama anaweza kushinda uchaguzi Marekani akiwa underfunded!
Kwa kuwa marekani watu wote ni immigrants, kila kabila linataka liweze kufaulisha targets zake za kiuchumi na kuboresha masilahi ya jamii na kupata faida ya wingi wa watu wake. Kujiunga kwenye hivi vikundi inakuwa na faida kwa races zenye nguvu kama wayahudi na hispanics. Mormons pia wanatabia ya kujitenga kama race na nadhani 99% watampigia romney.Marekani ishu ya race ipo sana kuliko nchi zingine tukiacha nchi za kiarabu.
Tuko pamoja kwenye hilo,kama ikionekana issue ya economy inaweza kumlet down,wanaweza wakafanya hivyo watu wake.
Bado hao minorities wako na Obama.Hao wahispanic hawataki mambo ya Romney mzee wa "self deportation"Kwa hyo tusubiri kuona Iran wakisambaratishwa! Siasa za nje za Merikani zina utata sana. Generally, kampeni za mwaka huu naona kama hazina moto kama za 2008 au ilikuwa ni mshawasha na tashwishi za kuona Rais mweusi na kwa sasa hiyo siyo issue tena?
Naomba mnisaidie wakuu, blacks na spanish community sasa hivi wanasimama wapi.or their expectations on employment, health were not met and so decided to go against Obama?
Don't underestimate the Chicago political machine.
Bado hao minorities wako na Obama.Hao wahispanic hawataki mambo ya Romney mzee wa "self deportation"
Republicans walimsusia nchi,wamepinga karibia kila kitu alicho propose.