Swali la kizushi kwa waliooa na kuolewa tu:-
Mwanaume akisema nataka mwanamke anaweza kusema leo sijisikii vizuri, kwa hiyo game inaahirishwa au inalazimishwa hivyo hivyo mtu amenuna.
Je ni mazingira gani mwanamke akisema nataka mwanaume anaweza kusema sijisikii vizuri? Au hii inaapply upande mmoja tu!