Afu wewe..., ulikuwa wapi siku zote hizi??
Safi sana,Tanzania na midahalo tunayoitaka.Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Karibu Husnii, nikuhifadhie kadi moja?
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Ahsante Mkuu kwa hii taarifa,hapo kwenye nishati watakuwa wamegusa matatizo ya nchi hii. Ila wakumbuke kupokea michango ya watu wengine pia!!!!!!!!!!!!Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Please, cheki PM kwenye inbox yako.