Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
umeanza eh ?
Kwanza nishukuru mi ndo nilimzuia nitonye asikunyofoe korodani.
Usicheke bana zis is siriaz,au unataka ninywe thiodan?
ama kweli hunipendi!
Sawa bana
Hilo swali muulize Mama Ashrat,ana majibu yote
I love u so much shemeji yangu ndio maana naona kuliko uteseke bora ukapumzike!amechop all your money naw hakutaki loooooh!pole lkn!
Aku babu mi mke wa mtu,mzima ww lkn
huyu The secretary nahisi kuna kiserengeti boy kinamzuzua,kanibadilikia ghafla,we mwache dawa yake iko jikoniI love u so much shemeji yangu ndio maana naona kuliko uteseke bora ukapumzike!amechop all your money naw hakutaki loooooh!pole lkn!
kopi: Ruttashobolwa (nshakwambia wanawake wa mjini hawana mwamana)
huyu The secretary nahisi kuna kiserengeti boy kinamzuzua,kanibadilikia ghafla,we mwache dawa yake iko jikoni
wiki hii ukisikia couple imelazwa mwanyamala kisa kung'ang'aniana usishangae.Tatizo ulihonga pesa yote na ulipoishiwa ulitegemea mtt wa watu aishije,na umeshamzoesha bata,kuku na bata mzinga?mwenye kisu kikali ndio mla .........!