walisema penzi limekuoversize sio kweli,haya kila la kherinimekuchagua wewe,
uwe wangu,
wangu wa maisha,
wa kufa na kuzikana,
usijali mengi,
wasemayo,
wewe ni wangu,
wa kufa na kuzikana
i love you!!!!!!!!!!
walisema penzi limekuoversize sio kweli,haya kila la kheri
copy: Lizzy ( Nyani Ngabu nasikia ni uamsho?)
Amma kweli , tenda wema usingoje shukrani! Sio wewe Bishanga mwaka jana ulinipigia ukiniomba msaada, ukiniambia kwao The secretary kulinyesha mvua ya upepo , paa la nyumba likaezuliwa.
Nikakusaidia ml. 2.5 , umuhimu wangu ulifika ukweni kwako!
Leo wathubutu kuniambia "hayanihusu?"
poa!
Kumbuka shida haina adabu, utarudi tena! Ndipo utakapojua bendera sio shuka!
Umeniuzi hadi nimesasambua siri!
Potelea kwa mbali.
Tatizo lako we Mamndenyi wivu.
Vipi NECTA wamesemaje kuhusu matokeo yako ya form four, kanambia The secretary leo asubuhi kuwa ulienda kufuatilia, nilikuwa sijui kuwa ulikuwa unajiendeleza ukubwani kama yule mwenyekiti wa zamani wa Simba...
Tatizo lako we Mamndenyi wivu.