Ya zombie na konnie hayakuhuu yanihuu mimi,konnie nimetoka naye mbali!
.au..mtukula..Mbali wapi? kashozi?
Remmy....hata wewe?
Ama kweli mzee wa makamuzi Asprin karithiwa yungali anapumua.....hongera sana Vin Diesel.
Na kweli....ukuje tufanye paper 2...
Afu ilipopanda ukaingia mitini. Yaani wewe! We ngoja tu!
Woooooote mnaotongozana kwenye thread yangu ondokeni...OUT nasema OUT.... Filipo.. Vin Diesel.. Paloma..... Remmy...... marejesho..... Mamndenyi et al fungasheni kila kilicho chenu muondoke hapa!
Sweetheart The secretary njoo tujimwage kwenye uzi wetu....nakupendaje!