mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
sihusiki apa..ila naomba tafsir..n luggha gani hii?
Lhunu ngina wiski tiki.
Lhunu ngina wiski tiki.
copy:Kokutona
Sijui kwanini tuliachana.....hebu rudi nyumbani wewe nafasi bado ipo..
Bado unamsarandia tu Passion Lady? She is engaged to be married ujue.....
sikio la kufa hilo haliskii dawa!
Una msururu sio?
Kopi: sweetlady
Sikio langu lasikia mapenzi yako tu.....
hahahaaaaa!acha nipanue bandama
niongeze siku za kuishi daah!
Tanua na moyo wako mmaana mie mpana kweli kweli
Sikio langu lasikia mapenzi yako tu.....
hahahaaaaa!acha nipanue bandama
niongeze siku za kuishi daah!
natayarisha beseni .....................nianze kulia! ndo nini unafanya thatha!!! nivunje ndoa?!?!?
hivi wataka ukaribishwe mara ngapi?!?!? eeenh??!?!
Duh!? Ulivyosema upanue umenishtua? Karibu utu wangu usimame!