Hayakuhuu...hii ni special dedication kwa mke wangu wa ndoa from the one n only only one bananazorro!!!!
nimekuchagua wewe,
uwe wangu,
wangu wa maisha,
wa kufa na kuzikana,
usijali mengi,
wasemayo,
wewe ni wangu,
wa kufa na kuzikana
i love you!!!!!!!!!!
Hayakuhuu...hii ni special dedication kwa mke wangu wa ndoa from the one n only only one bananazorro!!!!
Uuuwi... jamani my friend The secretary unaitwa hebu come zisi waiii...........
Bishanga mke ulimpa talaka kila mtu shahidi hapa, leo unasema?? Ngoja aje hapa mwenyewe The secretary.
Sounds gud my sextary
Uuuwi... jamani my friend The secretary unaitwa hebu come zisi waiii...........
I need somebody aniimbie kawimbo kama hako mzee wa mikopo lukuki isiyolipika aliomwimbia mfilisi wake.
Natamani masikio yangu yasikie kawimbo ka kuniburudisha this time of the weekend.
Bishanga mke ulimpa talaka kila mtu shahidi hapa, leo unasema?? Ngoja aje hapa mwenyewe The secretary.
Amma kweli , tenda wema usingoje shukrani! Sio wewe Bishanga mwaka jana ulinipigia ukiniomba msaada, ukiniambia kwao The secretary kulinyesha mvua ya upepo , paa la nyumba likaezuliwa.
Nikakusaidia ml. 2.5 , umuhimu wangu ulifika ukweni kwako!
Leo wathubutu kuniambia "hayanihusu?"
poa!
Kumbuka shida haina adabu, utarudi tena! Ndipo utakapojua bendera sio shuka!
Umeniuzi hadi nimesasambua siri!
Potelea kwa mbali.