haha haaaaaaaaa, we acha tu, no comment.FP mambo?
Vipi jana kwenye mnuso wa Mtakatifu SI , ule umafya wa kuiba mtu fastafasta, vipi kiibo kilisucsess ?
Au uliangukia pua? Hukuanamo!
kwa ajili yako nitauza kila kitu ,li vogue langu,nyunba mbezi,hisa zangu TBL,apartment masaki,kitalu bulyankulu,flat yangu SW London ets...we sema tu.
haha haaaaaaaaa, we acha tu, no comment.
umetokea wapi na wewe?
Mkeo nasikia kakuacha kisa hausgel.
Anaitwa chaliii a.k.a katumbili..a.k.a tuhela tudogo tudogo.Anaitwa nani? maana wale wapiga debe wengi ninawafahamu pale... kuna maglasi, huyu ni wa arusha musoma, kuna ethiopia huyu ni wa arusha geita bk, kuna madevu huyu kwa gari za dar, kuna mwingine bonge simkumbuki jina... na wengine weeeengi nimemtaja huyo wa Lizzy?
Hahahahaaa kipya kinyemi mwangu...km nakuona mzee wa masifa Bishanga Mzee wa SwagaMkuu kwa The Secretary a.k.a maDoudou nimejitolea kila kitu,nashukuru kesho tu fly out kwenda Acapulco tukachague summer house ya kununua.
Na pesonalite hiyo nakumwagia,ukitaka na moyo ukae nao huoooo nyofoa uchukue,kingine?
Mkuu kwa The Secretary a.k.a maDoudou nimejitolea kila kitu,nashukuru kesho tu fly out kwenda Acapulco tukachague summer house ya kununua.
kauze dignity yako
nipo CHINA kumsalimia mama angu
Lakini TS siumkubalie mwenzio mbona hutaki tunywe banana wine sasa?
hana jipya
Hapa kama Bishanga hajapata concussion sijui!