hivi mimi na mumeo nani mwenyewivu? Mumeo halali usingizi ukaisha, ali akashiba kazi kuchunguza mimi na Arushaone tunaishije utafikiri ye ndiye aliyepokea mahari.
Hii fitna sasa Mamndenyi,usiwe kama Lady doctor bana,maana tangia aolewe na kuachika mmmhhhhh
Lady doctor kakwambia nani uongo huu,bishanga akose usingizi akiwa amemkumbatia The secretary? No way!
makubwa! Madogo yana afazali!
Siku hizi mnatuita ving"amuzi?
Wewe hapo Lady doctor.....kwani siri?
Hayakuhuu!
ya nini labda?
nataka tutete jambo nyeti
husimpe mwaego...... Huyo ni kati ya wale walio piga vita ndoa yako isifungwe
anadhani nimesahau! We tulia beste, uone ntavyompoteza!!
ninong'oneze tu! Sina simu nagongeaga kwa best yangu lady doctor!
nitakusaidia kumpoteza dia...... We andaa mashambulizi