Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
we acha tu! Yani ntamfanyia kitu inaitwa "picha linaanza na starring anakufa" lol!
hahahaaa Bishanga umeisha....... Subiri picha linakuja!
Last edited by a moderator:
we acha tu! Yani ntamfanyia kitu inaitwa "picha linaanza na starring anakufa" lol!
queen kan na lady doctor mnajifanya wajanja sio? Niwaendee kojani pemba?
we subiri kama hamjanifuata kama vile papa anavyofuata harufu ya damu
Hahahaha,acha kutishia watu bhana!we subiri kama hamjanifuata kama vile papa anavyofuata harufu ya damu
hahahaha,acha kutishia watu bhana!
Hahahahaaahahaha! Umeona eee! Analeta mikwara ya mbu nje ya neti yenye ngao!!
hahahahaaa
Lady doctor kakwambia nani uongo huu,bishanga akose usingizi akiwa amemkumbatia The secretary? No way!
Ayaaa! Yamekuwa hayo tena my X ?
Poa sana diauko poa lakini best?
poa sana dia
za siku?
Queen Kan na Lady doctor mnajifanya wajanja sio? Niwaendee kojani pemba?
Mzima kabisafrshy tu, hajambo mumeo