The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

Ni live hivi sana Prince William ndo anatoka Clarance House kuelekea itakapofungwa ndoa.
 
tayari wameshuka na wamevaa mavazi ya kijeshi
 
bibi harusi analetwa na baba yake mda mfupi ujao tokea hoteli iliyopo katikati ya jiji la london
 
Haaa jamaa kashine ile mbaya na vazi lake la kijeshi heshima kwamba sasa amekuwa mtu mzima. Na best man ni ndugu yake another price!!! wonderful!!!
 
wako simpo sana....prince harry (best man) kama hajachana nywele
 
....Prince Will kashaingia, bado Kate sasa.
 
wanasalimiana na ndugu wa upande wa bibi harusi........
 
atatumia pete ya ndoa ya marehemu mama yake ....kumvisha mke wake huyu kate........(sijaelewa hapa)
 
kwa mbali naona gari ya bibi harusi yaja
 
hii kiboko, kiasi kuwe na maneno kwa hao mawaziri wakubwa wastaafu waliyokuwa hawajaalikwa.
 
walimuona mjomba wao...kaka yake na diana wakamsalimia..yumo ndani sehemu maalu iliandaliwa
 
gari ya bibi haru ni moja tu na pikipiki kama 5
 
Wapi kikundi cha matarumbeta na ma best girls wakisherehesha kwa kumwaga mchele na maua?..lol! kama harusi za huku kwetu.
 
dada na kaka (james and carole0 ndo wamefika abbey
 
Wapi kikundi cha matarumbeta na ma best girls wakisherehesha kwa kumwaga mchele na maua?..lol! kama harusi za huku kwetu.


huko hupati kitu hiyo......hahahahhaa
 
Elisa ( faheni dizaina) ndo kadizaini gauni la kate......
 
Back
Top Bottom