masssaiboi
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 636
- 134
Nilikuwa najaribu kufikiria kama Prince William angekuwa ana date na mtu kama Kim Kardashian hivi sijui ingekuwaje lol
wewe nawe kwa udaku.....yaani midume mizima mnakaa kitako kushabikia harusi za wenzenu....mtaja olewa na nyie....That's what I thought too. But best believe there will be tons of tongue action later on tonight.
wewe nawe kwa udaku.....yaani midume mizima mnakaa kitako kushabikia harusi za wenzenu....mtaja olewa na nyie....
The Kiss!.
kwa hiyo huyu mke wake anakuwa queen?
Ni harusi kubwa sana na ya kifahari lakini hawana jipya sana kutupita sisi walala hoi. Night style zilezile mlala hoi anafanya. Hayo ni ya kwangu tu!
Nasikia umekuwa muumini wa kanisa la FMES......dogo njaa itakuuaDa Yo Yo habari za leo?
Nasikia umekuwa muumini wa kanisa la FMES......dogo njaa itakuua
ishu sio siasa. Wenzetu hao hata wimbo wa taifa wanamtukuza queen,akirith wa kiume watamtukuza king.hamna urithi wa ufalme tena, ndio bibi yao mwisho, watu wanataka republican sasa
This is not their first kiss to the love of God. They were in relationship for almost 8 years. Tuseme kùlikuwa hakuna uchakachuaji kweli wadhungu...
The Kiss!.
You are welcome FirstLady1!.asante sana yegomasika
bwa ha ha ha ha mwenyewe FMES kasema.......afu nani kakuambia mie mtoto wa kiume?Acha umbeya mtoto wa kiume wewe. Eti umesikia...umesikia toka kwa nani? Gea Habib au Husna Abduli?
Prince William angefaa apate demu kama vile wakina Amber Rose naona bibi angemtoa ndukii