C'mon Invisible,H'w could you forget Mwafrika wa Kike on that X-mas card list of your?? Got2B politicaly correct sometimes-Uknow!!!Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?
GAME THEORY,
Mwanakijiji,
Mswahili,
Phillemon Mikael,
Field Marshall ES,
.....................,
Mkandara,
Brutus,
Kitila,
Mwendapole,
Ogah,
Rev. Kishoka
Mnyika,
Kasheshe,
KadaMpinzani,
na wengine kibao!
Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?
GAME THEORY,
Mwanakijiji,
Mswahili,
Phillemon Mikael,
Field Marshall ES,
Mkandara,
Brutus,
Kitila,
Mwendapole,
Ogah,
Rev. Kishoka
Mnyika,
Kasheshe,
KadaMpinzani,
na wengine kibao!
Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
C'mon Invisible,H'w could you forget Mwafrika wa Kike on that X-mas card list of your?? Got2B politicaly correct sometimes-Uknow!!!
**It worked4 JK, why not Us?!
Wewe hauxtable, yaani umesahau kuwa waafrika wa kike bado hawatakiwi kuongoza hapo Tanzania ...
Usiwe na shaka Bi-Mkubwa,kama nilivyo gusia hapo awali,tuko tayari hata kuazima 'Pattern' ya JK anayoitumia haswa ktk upande huu wa pili wa Kijinsia;Kuna Bond Street(London),DC au hata UN(HQ),vijiwe vya kuwakilisha vipo vingi tu its just a Que.of time.Kwi kwi kwi kwi,
....... kuna watu ambao hawafai kuwa magogoni au dodoma kwa vile wako too emotional kutawala. Mmoja kati ya hao watu ni mimi.
Wakati huu wa mapinduzi ni vyema pia kupindua mitazamo yetu juu ya uwezo dhidi ya jinsia! Mimi mwenyewe Dume la Mbegu naanza kuwa na wasiwasi juu ya ubora wa hizi mbegu na mstakabali wa taifa!
Unaweza na unahitajika, Mwafrica wa kike!
Usiwe na shaka Bi-Mkubwa,kama nilivyo gusia hapo awali,tuko tayari hata kuazima 'Pattern' ya JK anayoitumia haswa ktk upande huu wa pili wa Kijinsia;Kuna Bond Street(London),DC au hata UN(HQ),vijiwe vya kuwakilisha vipo vingi tu its just a Que.of time.
Mi Bado Sijaridhika, Why Not Zitto Kwani Mwaka 2010 Atakuwa Na Miaka Mingapi?
Mi Bado Sijaridhika, Why Not Zitto Kwani Mwaka 2010 Atakuwa Na Miaka Mingapi?
Sina uhakika atakuwa na miaka mingapi lakini nae ni kiongozi mzuri sana ingawa naamini Dr. Slaa will make a better President.
Mheshimiwa Kuongoza ni tofauti na Kukosoa. Kukosoa ni rahisi kuliko kuongoza. Unaweza kuwa bingwa wa kukosoa, lakini tabaan ukawa tobwe katika mkuongoza. Jee una hakika na Waheshimiwa (ma-champion wako) hao ambao umebaini kuwa ni mabingwa wa Kukosoa?