Hata mimi nakubaliana nawe kuhusiana na hilo lakini pia naamini ni vizuri kwa wapinzani na wale wote wanaotaka mabadiliko nchini mwetu kujiweka sawa katika kila eneo, Nimetumia neno wale wote wanaotaka mabadiliko nikimaanisha hata baadhi ya walio ndani ya CCM, kwa sababu si wote kutoka CCM ni Mafisadi ila tu wameangukia kwenye chama chenye miongozo mibovu ya kifisadi.Ni vigumu sana kuwashinda hawa Mafisadi kwa sasa katika post ya Upresident, ukizingatia watatumia pesa za BOT kuwadanganya watanzania, na ikibidi za kina Chenge na lowassa.
Ninachoweza kushauri ni kuwa pale ambapo wapinzani wanaweza kufika inabidi wafanye nchini juu kuwaelimisha wananchi wa maeneo hayo na kushinda ubunge, hii itasaidia sana ukikuta sehemu nyingi zina upinzani, itawasaidia pia wao kuweza kupata nguvu pia za kuweza kucompete zaidi next time
jamco,unajua tatizo la Tanzania ni collusion ya mihimili mitatu ya utawala, raisi hawezi kuwa na madaraka sana kama kila chombo kitafanya kazi kulinga na majukumu yake. Bunge mahakama vyote vinafanya kazi kwa kumlinda raisi aliyeko madarakani hata kama hafanyi vizuri, but kama tunakuwa na wabunge wengi bungeni spika akatoka upinzani nafikiri nchi itanyoka maana hawataficha maelezo ya RA, wala hakutakuwa na hii sio issue ya bunge bali ni ya CUF na CCM
Exactly,Invisible,
Ahsante kwa kunifahamisha hilo Mazee na mimi nasubiri kwa hamu kuhusiana na hivyo vichwa ambavyo vitajitokeza. Lakini kuhusiana na muda nadhani huu ni muda mzuri kuanza kujiwekea mikakati kwa CCM ni chama chenye mizizi mizito Tanzania nzima na ukichelewa unaweza kujikuta wameshakupiga bao. Kwa hiyo nadhani hata wakati huu ni wakati muafaka kuanza kufikiria mrithi wa kiti cha urais.
jamco,
Upinzani bado naamini kuwa rais wetu wa sasa ameelemewa na zigo la mijamaa yenye mifweza ambayo huenda ilim-finance wakati wa kampeni na sasa anashindwa aifanyeje. Anaamua ijifie yenyewe bila kuibeba tena maana imeiba kupitiliza ama kaigundua haina utu!
Vifo vya mende bado vinaelekea kuja zaidi. Kuna anguko moja huwa naliombea lakini naona tumepita njia ndefu sana kulifikia. Linaanza kuja taratiibu... Imani yangu ni kuwa Mungu ameamua kuliokoa taifa lake... Wapuuzi wengi walioamini kuwa wao ndio wao kwa jeuri ya fedha na ujasiri wa kifisadi sasa wataanguka vibaya.
Nawapa pole ambao wataumizwa kwa namna moja ama nyingine ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi, kutishiwa maisha pamoja na kumwagiwa tindikali kwani katika mchakato huu lazima haya yatokee. Muhimu ni kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha hili balaa tulilopandikiza ama kupandikiziwa linapungua na ikiwezekana kukata mizizi yake kabisa...
Tanzania ni yetu sote!
Nakubaliana nawe kabisa Mazee ingawa binafsi uongozi sio kitu ambacho nakipendelea lakini siku zote nitakuwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa yeyote yule ambaye atakuwa tayari kujiingiza katika vuguvugu la siasa kwa nia ya kuleta maendeleo ya kweli.Exactly,
Ni wakati wa kuhimizana sasa. Wale wenye nia na dhamira za kugombea nafasi mbalimbali waanze kujinoa. Tunahitaji vichwa vipya Bungeni by 2010 kuleta challenges na by 2015 Tanzania iwe imepiga hatua kubwa kimaendeleo.
Ni wakati huu wa sasa ambapo kila aliyekuwa na lengo hili aanze kuiandaa campaign team na kuweka strategies za kushinda. Muhimu ni kujulishana ili kampeni zipigwe kwa nguvu zote.
Geeque, why not you?
Ni kweli tumeshachoshwa vya kutosha na hawa viongozi wetu ndani ya Bongo, imefikia wakati sasa wanaona hata waibe vipi hawawezi kuguswa au kufikishwa kwenye vyombo vyovyote vya sheria.
Hahahaha Nyani Ngabu... Bado pia naamini hata wewe ukipewa fursa Bungeni unaweza kuleta changamoto huenda kuliko hata Zitto!Pamoja na yote haya kuna baadhi ya watu (wengine humu ndani) wanaamini upinzani bado hauna kwolifikesheni za kukalia uraisi...sasa sijui ni kwolifikesheni gani walizonazo CCM ambazo wapinzani hawana?...labda ufisadi uliokubuhu...
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?
GAME THEORY,
Mwanakijiji,
Mswahili,
Phillemon Mikael,
Field Marshall ES,
Mkandara,
Brutus,
Kitila,
Mwendapole,
Ogah,
Rev. Kishoka
Mnyika,
Kasheshe,
KadaMpinzani,
na wengine kibao!
Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
Hahahaha Nyani Ngabu... Bado pia naamini hata wewe ukipewa fursa Bungeni unaweza kuleta changamoto huenda kuliko hata Zitto!
Misemo ya "Wapinzani hawawezi..." au "Wapinzani hawana uzoefu..." niseme ni misemo ya kifisadi. Ni upuuzi wa hali ya juu kutoa kauli kama hizi... Nani anaweza? Nani ana uzoefu? They can't fool us around like that... Muhimu ni kuwaelimisha watanzania kwa hali na mali kupitia vyombo vya habari kuwa HATA WAPINZANI WANAWEZA... Wapewe nafasi!
Pamoja mkuu...
Mimi nitaendelea kuwa mtumishi wenu hapahapa JF... Ukijichanganya tu, hapa hapa JF tunaku-Chenge!Mimi nitarudi kwetu Bariadi kugombea kiti cha Chenge....wewe mwenzangu je?
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?
GAME THEORY,
Mwanakijiji,
Mswahili,
Phillemon Mikael,
Field Marshall ES,
Mkandara,
Brutus,
Kitila,
Mwendapole,
Ogah,
Rev. Kishoka
Mnyika,
Kasheshe,
KadaMpinzani,
na wengine kibao!
Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?
GAME THEORY,
Mwanakijiji,
Mswahili,
Phillemon Mikael,
Field Marshall ES,
Mkandara,
Brutus,
Kitila,
Mwendapole,
Ogah,
Rev. Kishoka
Mnyika,
Kasheshe,
KadaMpinzani,
na wengine kibao!
Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
Unamwonea KadaMpinzani...! Usimwone kuwatetea ila facts zikija hata kama anazipinga zinamwingia sana akilini.Naona majina mazuri lakini tafadhali sio Kada Mpinzani, huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10, siku zote mtetea Mafisadi nae ni Fisadi tu.
Tunachoitaji Watanzania sasa sio kumpeleka strong man kama yule ikilu, tutakuwa hatujafanya la maana kama tunataka maendeleo ya kweli na kule haendi peke yake, sisi wananchi tutampeleka kule lakini atakao wateua je watajali masirahi ya wananchi?
We need those strong men in the parliament waweze kusaidia kuchange system iliyopo ambayo sasa hivi ni kifisadi, hata JK anaodoka leo hali itabakia ile ile maan system yote ni ya kifisadi na inaweza kubalidilishwa bungeni tu, watu waogope na kueshimu bunge badala ya sasa linaoneka kana kwamba ni sehemu ya kwenda kuchulia poso tu.