The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
kibali cha kurusha kombe la dunia kinatolewa azam walikuwa hawajafungua kituo
 
Hata mi nahisi ni hawa ghana.., sina uhakika zile jezi nilizoona ni za timu gani.., ila nahisi ni kama zilikuwa Brazil na Ghana.., ila Ghana akabamizwa 3-1.., yaaan ni raha tupu...!!!!!!!!

ha, hiyo ndoto yako sasa inakoenda siko......lala tena check vizuri, itakuwa Brazil ndio kafungwa 3 na Ghana, kunywa uji wa ulezi ili ndoto ijirudie tena na ukikojoa usiteme mate
 
tutainunulia fremu hii comment hehehehe na timu ya africa ikishinda kombe la dunia tutawaomba jamiiforum wapeleke jumba la makumbusho tanzania kuhusu hii comment ilikuwepo jamiiforum. Ghana na ivory coast ndio tunawatakia kheri hizi zaidi.

cameroon na nigeria wanatoka bara la antactica?
 
cameroon na nigeria wanatoka bara la antactica?
Nafikiri umemsahau na Algeria sikuzitaja hizo sababu sioni wataolifanya ndomana nikasema Kama timu Africa nataka ishinde kombe la Dunia ni Ghana na Ivory Coast si kwamba hizo zinatoka Bara gani hukuelewa tu ndomana nikasema Ghana na Ivory Coast ndio nawatakia Kheri hizi Zaidi.
 
jamani nataka kufahamu kama azam wana mpango wa kuonyesha mashindano haya ambayo ni makubwa duniani

azam 1 na 2 hapana ila kuna chanel kibao ndan y azam king'amuz ztakuwa znaonyesha mpira
 
Nadhani ulikuwa unavuta kumbukumbu ya World cup ya 2010
 
kwa wale wapenz wa zuku mpira utaonyeshwa kupitia ubc na wbc tv
 
Lol Fifa wakiona kombe linakaribia kuja Africa wataanza kuleta mtima nyongo kama wanavyowaletea Qatar World Cup 2022.
hehehehe ni kweli Sap Blatter alimtoa adui yake Yule Babu wa Kiarabu jina limenitoka makusudi sababu alikuwa anajuwa nafasi yake itaoza sasa anamrushia Platini ambaye japo naye sipendi awe President wa Fifa anamrushia kwamba naye kala rushwa za Qatar yote anajuwa ndio atayebeba nafasi yake FIFA sasa hivi Sap Blatter anajipendekeza kwa Waengereza sababu Matatizo ya kusemwa Qatar sana yanatokea Uengereza yote Haya Uengereza wanamachungu kukosa WorldCup 2018 mwanzo England walikuwa Wanapiga Kelele Russia waliopewa WorldCup sasa hivi wameona Qatar ndio wawatafutie lawama chuki binafsi tu 1. Wanasema Qatar wamefanya rushwa 2. England wasiwasi wao ni Homophobic Hawana lolote 3. Wanafikiria wakinyanganywa Qatar watapewa wao WorldCup. England kila siku magazeti wao Qatar husikii kuwasema Russia ambao ndio waliowabebea WorldCup ya 2018 huwasikii kusema Kule pia hawataki Ushoga wala watu warangi wasiozitaka urusi sababu ni European wenzao, England ile WorldCup ya South Africa walisema Africa Wezi, Africa watabaka wanawake Africa Ukimwi siku ilifika WorldCup South Africa ilifanyika vizuri ikaisha vizuri walikaa kimya walipenda vuvuzela! Ila Europe Poland ile Euro kulitokea ubaguzi na Russia wakurusha bendera za ubaguzi waziwazi magazeti hatukusikia lawama. sapp Blatter kuhusu Qatar anajikosha tu England Royal yenyewe inalishwa na Qatar mbona hawaisemi Royal Yao pesa wanazozipokea Kama ni Dirty? Hizi Host za michezo zote zina Blood kokote Kule haijalishi taifa gani sie kazi yetu kufurahia games Mafia sasa hivi kazi Yao ku Fix.
 
azam 1 na 2 hapana ila kuna chanel kibao ndan y azam king'amuz ztakuwa znaonyesha mpira

thanx for info hawa jamaa tukiwasapoti watakuja onesha epl kwa gharama nafuu
 
hehehehe ni kweli Sap Blatter alimtoa adui yake Yule Babu wa Kiarabu jina limenitoka makusudi sababu alikuwa anajuwa nafasi yake itaoza sasa anamrushia Platini ambaye japo naye sipendi awe President wa Fifa anamrushia kwamba naye kala rushwa za Qatar yote anajuwa ndio atayebeba nafasi yake FIFA sasa hivi Sap Blatter anajipendekeza kwa Waengereza sababu Matatizo ya kusemwa Qatar sana yanatokea Uengereza yote Haya Uengereza wanamachungu kukosa WorldCup 2018 mwanzo England walikuwa Wanapiga Kelele Russia waliopewa WorldCup sasa hivi wameona Qatar ndio wawatafutie lawama chuki binafsi tu 1. Wanasema Qatar wamefanya rushwa 2. England wasiwasi wao ni Homophobic Hawana lolote 3. Wanafikiria wakinyanganywa Qatar watapewa wao WorldCup. England kila siku magazeti wao Qatar husikii kuwasema Russia ambao ndio waliowabebea WorldCup ya 2018 huwasikii kusema Kule pia hawataki Ushoga wala watu warangi wasiozitaka urusi sababu ni European wenzao, England ile WorldCup ya South Africa walisema Africa Wezi, Africa watabaka wanawake Africa Ukimwi siku ilifika WorldCup South Africa ilifanyika vizuri ikaisha vizuri walikaa kimya walipenda vuvuzela! Ila Europe Poland ile Euro kulitokea ubaguzi na Russia wakurusha bendera za ubaguzi waziwazi magazeti hatukusikia lawama. sapp Blatter kuhusu Qatar anajikosha tu England Royal yenyewe inalishwa na Qatar mbona hawaisemi Royal Yao pesa wanazozipokea Kama ni Dirty? Hizi Host za michezo zote zina Blood kokote Kule haijalishi taifa gani sie kazi yetu kufurahia games Mafia sasa hivi kazi Yao ku Fix.

Nakubaliana na muono wako. Chokochoko zote zinatoka England. Wazungu(Europeans) wazushi kinoma, walipokuwa wanakula pesa hawakujua hayo yote (utamaduni na hali ya hewa)? Leo wanaona kuna uwezekano wasipate watazamaji wengi watakaokwenda Qatar sababu ya hali ya hewa na sharia za kiarabu wanakuja na visababu vya ajabu ajabu. Naamini katika kugombania ku-host michezo iwe World Cup, Olympics, Euro, ACON, UCL etc mikono yenye sukari lazima irambwe, rushwa ya kila aina inafanyika ili nchi ipate mkataba wa kuhost michezo hii. Sepp Blatter na wenzake wamekula pesa za Urusi bila kujali historia za kibaguzi zilivyo East Europe na England walivyo wachochezi wanajua hawawezi kufurutuka vs Russia's power sasa wanachochea kwa Qatar. Anyway, nadhani World Cup 2022 Qatar watanyang'anywa na itarudishwa Ulaya kama sio Marekani.
 
hata wakionyesha sijui kama tutaweza kuangalia mechi zote maana muda wa kukesha na kudamkia ofisini ni ishu
 
ha, hiyo ndoto yako sasa inakoenda siko......lala tena check vizuri, itakuwa Brazil ndio kafungwa 3 na Ghana, kunywa uji wa ulezi ili ndoto ijirudie tena na ukikojoa usiteme mate
kwanini umesema Ghana wakati kundi la Ivory Coast inaonekana rahisi kidogo.
Ghana kwa Germany na Portugal hapumui hata kumfunga U.S.A kazi ipo.
 
Tatizo la ndoto siyo lazima itokee kama ulivyoota,wakati mwingine inakuja kivingine labda hayo matokeo unaweza kuta yakawa ni ya robo fainali au hata nusu fainali.Haya kwa maoni yangu tu
 
[h=1]Cameroon players ready to take off for Brazil after bonus dispute[/h]
Cameroon's players are finally on their way to the World Cup after initially refusing to board a flight to Brazil because of a dispute over bonuses.
The squad, including former Chelsea striker Samuel Eto'o, refused to fly to South America on Sunday morning.
But they eventually agreed a financial package with the nation's football federation after an emergency meeting.
The squad will take off from Yaounde at 21:30 BST, 12 hours late, and should arrive in Brazil on Sunday evening.
Team coach Volker Finke had said players were complaining that the £61,000 they were due to be paid for figuring in the World Cup was not enough.
After agreeing an end to the row, Cameroon Football Federation president Joseph Owona said: "Everything has been resolved.
"We have opted for transparency. There is no problem and I think the team needs to be mobilised for all to look in one direction."
 
ni sawa na kuuliza hivyo moto unaunguza au haunguzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom