The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.
 
mkitafakari kwa mlengo huo lazima magufuli afeli .. kama anaendesha nchi kisiasa na kuacha reality... sawa hili la vyeti limekuja baada ya yeye kutumia njia mbovu ya kutuhumu watu na kuwadhalilisha . imagine angeshirikisha wataalamu wa intelejensia na yeye akawa nyuma yao je isingefanikiwa .. haya kapayaka haya sasa maadui zake wamepata pakumtwanga .. mbona hili awamu ya tatu wa dili nayo vizuri tu na watu wanakamtwa sehemu gani ametangazwa?
 
Muda ndiyo mwamuzi mzuri
tapatalk_1488873578481.jpeg

Naomba niishie hapa.......
 
Yaani ukimpinga Makonda lazima utakuwa na kitu kati ya hivi:
Unauza sembe Raini
Unatumia unga
Unavuta shisha
Shoga
Uraki kupanda miti unataka kushika ukuta
Upendi usafi.
Basi ila zaidi ya hapo ni majungu na maneno ya mkosaji.
 
Mleta mada hajagusia kabisa tatizo sugu la upatikanaji wa maji safi na salama ndani ya jiji!
 
Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.

washatekwa akili ndugu, mpaka unawaonea huruma

maana washa side upande wa drug dealers kilainii...huku watoto wao wanahangamia
 
Hahahaha! Yaani aibu hii mpaka kwa mzee wa kipara

Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?

Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.

Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.
Utajisikiaje ukiitwa na wewe Marinda FC.

Ukijivua heshima hakika hamna atakayekuheshimu.

Changia hoja kwa mantiki, usikurupuke kwa vijembe wala maneno matupu, kaa kwenye hoja.
 
mkitafakari kwa mlengo huo lazima magufuli afeli .. kama anaendesha nchi kisiasa na kuacha reality... sawa hili la vyeti limekuja baada ya yeye kutumia njia mbovu ya kutuhumu watu na kuwadhalilisha . imagine angeshirikisha wataalamu wa intelejensia na yeye akawa nyuma yao je isingefanikiwa .. haya kapayaka haya sasa maadui zake wamepata pakumtwanga .. mbona hili awamu ya tatu wa dili nayo vizuri tu na watu wanakamtwa sehemu gani ametangazwa?
Tatizo hili la veti ni mtu kaliongea huko mtandao na gwajima kalidaka kama lilivo na hawajatoa ushahid na hawana accademic source ya ushahid bcz huyo bashite ana zero therfor hana chet so unamthibitisha vp kama ndie yy.huo ushahid unautoa necta ipi akat mtu hatambuliki kama ni mhitimu,.
Hata kama ikiwa alifoji na ingawa haithibitishik but hii ilikuwa ni weakness ya mfumo wetu wa elimu in the past bcz chance zilikuwa chache na zilikuwa zinauzika hence hvo ndivyo mfumo wetu wa elimu ulivyokuwa unataka na ndio maana zaid ya nusu ya wazee wetu wapo hivo.
 
mkuu mtuhumiwa ajitetee ili aendelee kuwatwanga wauza madawa ya kulevya.. upo vitani adui yako anatumia silaha fulani na wewe unauwezo wa kuitumia kwa nini usitumie hiyo sila kumtuliza ili muendelee na mashambulizi tatizo mwenzie katumia silahi hiyo yeye karudisha majeshi nyuma na kuanza kulia .. no paul au daudi waweke cheti tuendelee mbele
 
washatekwa akili ndugu, mpaka unawaonea huruma

maana washa side upande wa drug dealers kilainii...huku watoto wao wanahangamia
Hz ndio nyumbuz broo akitamka gwajima zinakuja kusupport hapa JF kwa kelele na fujo.
 
If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv
​

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
Mnamshambulia Makonda kwasababu kaharibu biashara haramu ya UNGA .Mbona yote haya hamjasema kabla ? Acheni propaganda bwanaa !
 
Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.
mkuu umeangalia hii post ni ya lini?
 
Hivi kuna ulazima kama sio umuhimu wa kuwa na wakuu wa mikoa kweli katika Tanzania mpya?
 
Back
Top Bottom