Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,792
- 4,880
Ni blah blah tu political nonsenseHivi majukumu ya Mkuu wa Mkoa ni nini? Ni kupanga mji,kujenga nyumba, kusamimia usafiri au nini hasa?
Ni blah blah tu political nonsenseHivi majukumu ya Mkuu wa Mkoa ni nini? Ni kupanga mji,kujenga nyumba, kusamimia usafiri au nini hasa?
Mnamshambulia Makonda kwasababu kaharibu biashara haramu ya UNGA .Mbona yote haya hamjasema kabla ? Acheni propaganda bwanaa !
Acha maneno weka vyeti, mbona simple sana mkuu!Haya yote yamekuja baada ya list of drug dealers. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajue kuwa hich n kisas Na hata magufuli analijua hilo.
But kuna nyumbu wanaingia na kuplay part kwenye hiki kisas without reason only because they r nyumbuz.
Magufuli hawez kumuondoa Makonda bcz anajua kuwa wanaopiga kelele ni wauza ngada na suppoters wa upinzan.
Magufuli hatosikiliza milio ya Nyumbu.
Kama kiongoz ili ufanikiwe u need kuwa focused kwenye mambo ya msingi. Hatokuwa na mda wa kufatilia leo gwajima kamsema hv, msigwa kamsema hv, mara mboye vile.mkuu mtuhumiwa ajitetee ili aendelee kuwatwanga wauza madawa ya kulevya.. upo vitani adui yako anatumia silaha fulani na wewe unauwezo wa kuitumia kwa nini usitumie hiyo sila kumtuliza ili muendelee na mashambulizi tatizo mwenzie katumia silahi hiyo yeye karudisha majeshi nyuma na kuanza kulia .. no paul au daudi waweke cheti tuendelee mbele
ha haha basi sawaKama kiongoz ili ufanikiwe u need kuwa focused kwenye mambo ya msingi. Hatokuwa na mda wa kufatilia leo gwajima kamsema hv, msigwa kamsema hv, mara mboye vile.
Kukaa kmya ni jibu sahihi.
Mnaitwa nyumbu bcz mnaingilia mambo ambayo hayana mantiki bila kureason.Utajisikiaje ukiitwa na wewe Marinda FC.
Ukijivua heshima hakika hamna atakayekuheshimu.
Changia hoja kwa mantiki, usikurupuke kwa vijembe wala maneno matupu, kaa kwenye hoja.
Najua ni ya mda mrefu but i focus kwann imejirudisha hapa this tym. Nikicoment kwenye hoja nitakuwa nacoment the past.mkuu umeangalia hii post ni ya lini?
Mimi nyumbu sikatai..sasa wewe bashite kwa nini usiweke hvyo vyeti mezani tuumbuke sie nyumbu,wauza madawa n.k mbona rahisi sana..Mnaitwa nyumbu bcz mnaingilia mambo ambayo hayana mantiki bila kureason.
Let say mm ndio paulo makonda.
Nyumbuzi: unatumia jina la mtu na jina lako halisi ni bashite ulipata zero kidato cha nne, kama unabisha onyesha chet.?
Cheti cha paul makonda umedai syo chake, bashite umedai amepata zero form 4 , then unamdai mtu chet ili akuthibitishie.kawaida mtu aliyepata zero hanaga cheti na jina la paul makonda umelikataa soo hoja yako ya msingi ni ipi na unataka chet gan?
Itauza hyo...Mi naomba niwe masogangenaanda Movie yangu itaitwa "Bashite from Hero to Zero"