The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

Ahsante mtoa mada. Ukweli aliaminiwa sana , lakini jiji hili lipo nje ya uwezo wake. Jiji linahitaji kiongozi mzoefu na mwenye vision.
Huyu jamaa amekumbatia watu ambao jamii inawaona wachafu. Amemkumbatia GSM sana , na amepokea misaada mingi kutoka huyu jamaa. Lakini la kujiuliza misaada hii kwa malipo gani ? Jee safari yake ya nje amelipiwa na nani ?
Jee aliptengeneza ofisi yake kuwa moja ya ofisi za anasa nani alilipa gharama hizi ? Jee kwa faida na fadhila gani?
Kuna hili la shisha ambalo habari zilizopo ni kwamba alishirikiana na kampun ya sigara kupiga marufuku shisha..jee kwa malipo gani. ?
kuna hili la kuzuia kufanya kazi mpaka saa 4 kila jumamosi , ambalo limefanya baadhi ya biashara wasifungue kabisa kila jumamosi kukimbia harassment za mgambo wa makonda.
Ni vile rais wetu hatusikilizi tu lakini huyu jamaa hafai na anazipunguza kura za Mkuu kwa kasi kubwa sana.
Kiongozi wa wananchi zaidi ya 5m hauna nafasi ya kupiga selfie na kuziwekan instagram
 
Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!
Ni kweli wivu unamsumbua kama kAyaona hayo kwanini asitoe kama ushauli kuliko kusema kashindwa ebu atuambie hao alio wafananisha wamefanya nini cha maana
 
Kwahiyo mleta mada unataka kutuaminisaha kuwa Dar ina watu karibu million 10, Kwa nini usiseme kuwa inakadiriwa kuwa na watu wapatao Milion 5
 
Hii jamii inapenda sana kuombea/kutarajia/kusubiria/kushabikia/kushangilia downfall za wengine hasa viongozi. Sijui ni sababu gani zinatufanya tuwe na negative mindset.

Jamii ijitahidi kuunga mkono panapostahili na kusaidia kujenga viongozi bora. Tuziie downfall za wenzetu zisitokee kwa wanaoonekana wanapotential ya kuweza wakipewa muongozo na kupata uzoefu mzuri.
 
Ni kweli wivu unamsumbua kama kAyaona hayo kwanini asitoe kama ushauli kuliko kusema kashindwa ebu atuambie hao alio wafananisha wamefanya nini cha maana
Ni kweli mkuu. Bora ushauri kuliko SHARI!
 
Kazi yake hasa. "Job description " kama mkuu wa mkoa ni nini ???
Kuna chama cha siasa kilichopendekeza nafasi na vyeo vya DC na RC vifutwe kwa hoja kuwa hawana kazi za kufanya maana shughuli zao zinweza kufanywa na MADED.
Naunga mkono wazo hilo.
 
Naona orders zishaanza kutoka after recess ya 1 month
 
Kweni kapewa malengo gani ambayo hajayatimiza ? yeye ni sawa sawa ma wakuu wa mikoa mingine ambao hawana malengo hasa ya kiuchumi, afya na elimu na ustawi wa jamii. sidhani kama mkuu wa mkoa anawajibika na Zaidi ya uongozi na usalama wa mkoa wake
 
anawapasua kichwa mbaya,kila saa makonda makonda kisa kamtaja mbowe,na mjiandae kumwekea zamana
 
Back
Top Bottom