Elichoma inaelekea hujui nini kinaendelea duniani....hujui nini mission za NATO dhidi ya libya mpaka sasa...anyway mringo kaelezea mengi kwa kifupi tu....Gaddafi aliwapa wananchi wake kile kilichopatikana kutokana na rasilimali za nchi muda wote...katika maisha yake ya uongozi kwa muda mrefu aliishi maisha ya kawaida ambayo yanafananishwa na watu wengine wa kawaida....alilinda heshima ya nchi na kuitetea yaani hakuwa kibaraka...yapo mengi ambayo alikuwa akiyafanya dhidi ya nchi yake...mbali na hilo aliitetea Africa kwa juhudi kubwa dhidi ya ukoloni mambo leo unaendelea...kitu ambacho si rahisi kwa viongovi wetu. Alibeba jukumu la kuendeleza africa kwa kudhamini mambo mbalimbali...nk...vilevile naweza kusema hana tofauti na watu kama Che Guavarra ambao walijito muhanga kutetea watu dhidi ya ukandamizaji alafu vibaraka wachache kwa uchoyo na kutokuelewa wanawageuka kwa masilahi binafsi...
Jaribu kumkubali Colonary because is the Hero!...
Jaribu kumkubali Colonary because is the Hero!...