The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Duu, Kwani tangu lini wazungu wanakatoa msaada..

Siyo tu watalipa principal plus interest (wameshaingia kwenye debt system)

NTC ni vibaraka kama ilivyo serikali ya iraq..
 
Aliyewatuma kwenda Libya ndo wa kuwalipa!
Na hayo mafuta wanayofyonza malipo hayajaanza tuu
Apa nalazimika kukopa kauli ya kikwete usikute ni kiherehere cha NATO kwenda kuipiga Libya
 
Russia, China na Germany hawataki kusikia wala kujiingiza kwenye vita, wako busy kujenga uchumi wao na hawashuki sasa hivi kwani mbinu zao zinakubalika kutuhadaaa wakati wanapotaka kutuibia. Hawa wengine wanatumia nguvu kutuibia waafrica, ndiyo maana siku wakiamua kupigana basi WW3 itakuwa mwendo wa nuclear bomb kila kona!!
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

Na matatizo ya libya wanayatatua ina nani? si walibya wenyewe? I have had enough of the man called Gaddafi. I now think about how to go about doing what is important to me...ambayo ni kula by the way, lol!!!
 
Russia, China na Germany hawataki kusikia wala kujiingiza kwenye vita, wako busy kujenga uchumi wao na hawashuki sasa hivi kwani mbinu zao zinakubalika kutuhadaaa wakati wanapotaka kutuibia. Hawa wengine wanatumia nguvu kutuibia waafrica, ndiyo maana siku wakiamua kupigana basi WW3 itakuwa mwendo wa nuclear bomb kila kona!!

Capitalists and Communism they are all the same..because they came from the same roots (freemasonic)

Hakuna cha germans, wala russia wala wapi..lazima ukubaliane na wanao control uchumi..
 
article-2051361-0E74ACE500000578-996_634x382.jpg


... bunduki iliomtoa roho Kanali Gaddafi ni hiyo hapo ilionyanyuliwa juu dakika chache tu mara baada ya tukio.

Mtu aliyeruhusu risasi kadhaa mwilini mwake Kanali ni huyu muasi mwarabu mweusi hapo kwenye picha ambaye pia
NI MUISLAMU SAWA NA MAREHEMU mwenyewe na wala si mtu wa Magharibi, wala ndugu zetu Wa-Kristo.
​
Was Botha right about black people when you give them guns?
 
Duu, Kwani tangu lini wazungu wanakatoa msaada..

Siyo tu watalipa principal plus interest (wameshaingia kwenye debt system)

NTC ni vibaraka kama ilivyo serikali ya iraq..

kila kitu watapangiwa mpaka jinsi ya kulala kitandani.
 
Acheni kuingiza udini kwenye suala la Gaddafi. Kwani askari wa NATO waliokuwa wanarusha drones kwenda Libya nao ni waislamu? Nchi za NATO nazo ni za Kiislamu. Watanzania tusipokuwa makini tutachimba makaburi yetu wenyewe. Mambo mnayoandika au kusema yanaingia miongoni mwa jamii. matokeo ya mambo haya yatakapokuwa yamekomaa tutajuta. Ninarudia kusema si vema kuhusisha mambo ya nje ya Tanzania na kuyanasibisha na masuala ya Tanzania LIBYA ni LIBYA na TANZANIA ni TANZANIA. Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
Aliyewatuma kwenda Libya ndo wa kuwalipa!
Na hayo mafuta wanayofyonza malipo hayajaanza tuu
Apa nalazimika kukopa kauli ya kikwete usikute ni kiherehere cha NATO kwenda kuipiga Libya

PUTIN aliuliza je walibya waliridhia mpango huo,kiherehere cha NATO kutaka mafuta.
 
Gaddafi ndio aliowaruhusu Nato kumuua. Alitengeneza maadui wengi ndani ya Libya kwa uongozi wake wa shari na kibabe
 
Na matatizo ya libya wanayatatua ina nani? si walibya wenyewe? I have had enough of the man called Gaddafi. I now think about how to go about doing what is important to me...ambayo ni kula by the way, lol!!!

tunazungumzia maisha baada ya Gadafi na mafunzo tunayoyapata kwa misaada ya USA na wamagharibu
 
Ni Kweli Wapewe Mwili ili wauzike sio kufanya wa maanesho.

hapana inabidi watu washudie kwa macho yao kwamba gaddaf amekufa wawapigie simu wenzao waliokimbia nchi warudi.sasa hivi libya imetulia tuli hamna mtu aliyeuawa leo.mia
 
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia
 
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?musiwe na akili fupi kama maisha ya funza.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia

anza kujiuliza kwanza wewe mwenyewe umeifanyia nini Tanzania au ni mzigo ulioza kama funza!unauhakika kila anayechimba madini ni muingereza?au upo kwenye bia za ofa ukakurupuka kupost,muanzisha thread huoni kama amenukuu,fanya critical analysis syo kukurupuka
 
Bora wao wameondoa dikteta kwa madeni na mafuta yao,je nyie ambao mna export 2 billion dollars of gold kwa mwaka lakini mnaishia kupata only 3%(100m$) tuwaite vipi?...vipi eti 100m$ zinapotea kwa kashfa(richmond) lakini hata prosecution hakuna then mnamchagua same guy mliyempa treasury yenu,kama sio ugonjwa wa akili ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom