The reason to why I didn't marry you!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Nakuelewa sana ndo maana maisha yangu hayategemei mahusiano na mtu yeyote siko addicted na binadamu...niko addicted na chakula basi hivi vingine sio vya lazima bila vyenyewe naishi kwa amani na furaha
Tatizo we learn the hard way.... Baada ya maamuzi mabovu ndo unaona kweli...imekukocost...ndo wengine wanahit n run... wengine wakawa makahaba...wengine wanaamua kuachana na mapenzi kabisa... Wengine wanaamini true love is somewhere waiting for them so...they search for it.
 
Pole sana rafiki, tuliza akili na umuombe Mungu, utapata mke bora
 
True... Ukiona.mambo yameshindikana...tuachane kwa Amani....
Yanini.kuteseka na mtu.... Eti kisa jamii itasema Seema....

Mkishindwana ACHANENI....
 
Mkuu...hili Swali la.umedate wanaume wangapi...naomba tusiulizane..halisaidii zaidi linaboa tu
 
Pole sana, sasa mary iliishiaje, did i miss something here? Hongera pia kwa kujifunza kutumia protection, for the time being una watoto wangapi +wale wa kubambikiwa?
Alinitesa sana kihisia, alijifungua mtoto wa kike, nikawa najitoa kidogo kidogo nilisafiri kwa muda mrefu sana nje ya mkoa, nilimsimulia anko hiyo issue akanisaidia baada ya hapo sikutaka tena ushirikiano wowote na yeye zaidi ya matumizi ya mtoto, baadaye akaanza kukataa kuchukua pesa ya matumizi akinitaka niende (alikuwa ananiambia mtoto hataki pesa zako anakutaka wewe baba yake) sikuwa kuitikia huo wito

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu achana kujibizana na watu banaaa!!! Malizia utunzi wako Mkuu.
 
Duuh
 
Pole sana
You can always start afresh it’s never too late[emoji4]
Mkuuu...hili.jambo.limetokea 2016... Lakini consequences za haya maamuzi nadeal nazo.hadi leo

... Aiseee lazima ujiangalie wewe Kwanza kabla ya kufanya maamuzi...make sure maamuzi.ufanyayo benefits outweigh the cost....
Mylife has never been the same.....
 
Wakati mwinhine kuji involve nwa watu tofauti kimahusiano ni hatari, kuna siku unakutana na jini walahi

Wanaume siku hizi wamekuwa wasumbufu wanakuwa kwenye mahusiano kwa machale
Basi wanawake nao wameamua kuwaroga maskini
Pata picha mwanaume mmoja anarogwa na wanawake watatu
Huyu kichwa chake kitakuwa sawa kweli?
Yaani kuna kazi ya kuombea watoto wetu wa kiume,kaka zetu na wadogo zetu
 
What happened aisee, na uliamuaje ili uwe comfortable?

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu....unaweza fanya dhambi ukaona hata aibu kusema na Mungu...lakini Mungu wetu Ni msamehevu Sana....haangalii makosa yetu... Aanataka tujitahidi kumtii... Fanya tu.kujilazimisha kufanya Ibada. Inaweza ikawa ndo pona yako
 
You are right, bila kuwasahau waume zetu maana hao ndio target hasqa, mtu akishajua huyu ni mume wa mtu basi ndio analala kabisa kwa mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…