Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Mapenzi hayana fairness,unachotoa interms of time,feelings,money sio sawa na unachokipata...output is greater than input so it's a lose situation on one sideInategemea NTU na NTU na hili la dunia ya sasa Mkuu umeexaggerate mapenzi bado yapo yapo sana tu katika nchi nyingi duniani.
Hata mimi conclusion yangu ni hii kabla hata hajamaliza stori zake.I can simply conclude kwamba ulikua hujui unachotafuta kwenye mahusiano na ni mtu unaefanya maamuzi kwa kukurupuka
Nakuombea nawe ufeli Figo kamaRuge.... Maana ndo mafano wako wa maisha boraMimi nimelijua hili yaani natimiza majukumu yangu kama baba interms of security ya pesa na uwepo wangu,mengine yatajijua.Ruge mbona aliweza vizuri tu na watoto wake wanamkubali sana
Shit always happen,ni jambo la kawaida wote tunapita tu hapa dunianiNakuombea nawe ufeli Figo kamaRuge.... Maana ndo mafano wako wa maisha bora
Mapenzi hayana fairness,unachotoa interms of time,feelings,money sio sawa na unachokipata...output is greater than input so it's a lose situation on one side
Majani mengi tena machungu..!😏Hauko pekee yako. Macho kodoooooo! Kwenye uzi huu hukawii kuwasikia baadhi ya wanoko....Chai hii tena ya baridi na haina sukari 😅😅😅
Inauma kwa kuwa umelipa mahali,unamnunulia chupi,unamlisha,unamvalisha au mtu mwingine hafanyi chochote anato**a bureIt depends on what’s your expectations from the other side Mkuu. Kama ingekuwa ni lose lose situation basi njemba ikigundua GF au mke ananyanduliwa ingenyanyuka kirahisi na kutokomea zake badala ya kuumia sana kwa kuwa ni lose lose situation.
Mkuuu.... It's never too late to change.... Haya maisha mwisho wake unategemea na leo yetu.... We will die yes...but it's not matter of dying it's how we lived that matters.Shit always happen,ni jambo la kawaida wote tunapita tu hapa duniani
Sema tu ndugu,Kama inakupa amani ya moyo inatosha...usikae na vitu moyoniNikija na historia yangu ..ntaoga matusi hadi nishangae..
Cha msingi hujafanya maovu kama kutelekeza watoto,kuua au kuiba.Usijitahidi kufurahisha watu kuliko kujifurahisha wewe,kama mtu hakupi furaha au amani piga chiniMkuuu.... It's never too late to change.... Haya maisha mwisho wake unategemea na leo yetu.... We will die yes...but it's not matter of dying it's how we lived that matters.
Mkuuu....Kuna Mambo huwezi hata hadithia mtu....yanasikitisha Sana...Sijui kurogwa kupo.... Inawezekana NAMIMI.nilirogwa....kuna maamuzi unafanya baadae unajiuliza hivi kweli.mimi niwakufanya maamuzi kama Yale....Sema tu ndugu,Kama inakupa amani ya moyo inatosha...usikae na vitu moyoni
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Nikija na historia yangu ..ntaoga matusi hadi nishangae..
True ..Kama mtu hakupi Amani ...unapiga chini... .maisha haya Kwanini uishi kwa vilio.eti kufurahisha walimwengu?Cha msingi hujafanya maovu kama kutelekeza watoto,kuua au kuiba.Usijitahidi kufurahisha watu kuliko kujifurahisha wewe,kama mtu hakupi furaha au amani piga chini
Ukweli ni kwamba, unaweza kuwa na ndoto nzuri, mipango mizuri kwa ajili ya kuijenga kesho yako, ila ukikutana na mtu asiye na mlengo sawa na wako, (na kwa kuwa huwezi kuota) basi jua umekwisha!Hata mimi conclusion yangu ni hii kabla hata hajamaliza stori zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...body guard Wangu usijali ...ila nikikumbuka.maandiko ya Dini yetu yanasema Usimsimulie mtu dhambi zako...kwani Mungu amekustiri Wewe unaenda kujichafua...nakuwa nasita kidogoLeta mwaya bodyguard wako nipo hapa nitakuwa napambana na watoa matusi wewe unatuletea mkasa wako tu[emoji1434][emoji1434]
Nakuelewa sana ndo maana maisha yangu hayategemei mahusiano na mtu yeyote siko addicted na binadamu...niko addicted na chakula basi hivi vingine sio vya lazima bila vyenyewe naishi kwa amani na furahaAiseee..... We search for happiness in the wrong places...Mimi MAJUTO yangu maishani Ni Mengi Sana.... MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU source Ni Mahusiano....Hadi leo nimerudi Sana kichumi Nyuma.....
....
People say love doesn't cost a thing...but it can cost you more than you could ever Imagine
Hahahah unamjua waziri mkuu wa Uingereza Borrison ameacha mke na watoto watatu wakubwa akaoa mtu mwingine,Bilionea Elon Musk kaacha mke na watoto watano kaoa tena mtu mwingine mimi mwanamke mwenye mtoto mmoja au wawili nashindwaje kupiga chini nikaendelea kuwa na amani yangu...mahusiano yasitumike kama kigezo cha kufilisika au kuteseka dunianiTrue ..Kama mtu hakupi Amani ...unapiga chini... .maisha haya Kwanini uishi kwa vilio.eti kufurahisha walimwengu?