The Radar Scandal: Investigation & Progress

After watching I think these deals will go with a lot of people in so many countries. SFO are continuing with their investigations in Tanzania and South Africa.
 
Dua

Hata kama SFO waseme kuna rushwa ilitokea kwa so and so in Tz walilipwa kiasi kadhaa...JK atakenua meno kama kawaida yake na kusema haya mambo yametokea na sasa tunabadili utaratibu ili yasitokee tena...Hebu tuache kuwachunguza maraisi wetu wa nyuma, sio uungwana.
 
Bribery is still a problem in international business




Soma Habari hii hapa

Kama South Africa wamekuwa wakwanza kujiunga katika Africa sisi miaka yote hii tunangoja nini? Je, tunaogopa nini?
 
Will BAE Scandal of Century Bring Down Dick Cheney?


This article appears in the June 29, 2007 issue of Executive Intelligence Review.

BMW amekwisha kubaliana na M7 kupewa U-chancellor wa Makerere University ili asiandamwe na rushwa ambazo yeye alizifumbia macho. Huyu jamaa ni lazima tu ajibu maswali ambayo yanaonyesha jinsi alivyoshirikiana na wezi wakuu kuhujumu uchumi wa Tanzania. Hata anapolala kelele zetu zitamuandama hadi hapo atakaporudisha pesa zote alizoiba kwa walalahoi. JK usimlinde mwizi huyu wacha sheria ichukue mkondo wake.
 
British MPs debate military radar deal

-Several cite outright corruption Vithlani’s name also crops up

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

BRITAIN’S House of Commons this week extensively discussed corruption allegations in the $41m (approx. 52bn/-) military radar deal involving the Tanzanian government, and urged authorities in London and Dar es Salaam to vigorously pursue ongoing investigations.

One member of parliament made specific reference to the shadowy agent behind the controversial deal, Shailesh Vithlani, and his links to a string of other suspect government procurement contracts in Tanzania.

’’The case in Tanzania is particularly important because it relates to the full thrust of (British) government policy in Africa, which is to encourage good governance,’’ said Dr Vincent Cable, the MP for Twickenham on a Liberal Democrat party ticket, in the House of Commons on Monday.

He added: ’’The original corruption allegations related to a large payment by BAE Systems on an air traffic control arrangement (with Tanzania) that was opposed at the time by the current Prime Minister (Gordon Brown) and the then overseas development secretary (Ms Claire Short).’’

Dr Cable noted that the matter has been made all the more peculiar by the fact that ’’the alleged middleman, a Mr Vithlani, has subsequently been named in Tanzania in accord with two other major corruption inquiries relating to a presidential jet and a military truck.’’

He declared that ’’those who are concerned with honesty and probity in Tanzania’’ are looking anxiously at whether the British government will pursue its own inquiries.

Earlier, Britain’s solicitor-general, Ms Vera Baird, informed the House that a couple of investigators from the Prevention and Combating of Corruption Bureau in Tanzania were currently in London to liaise with Britain’s Serious Fraud Office (SFO) over the radar deal investigation.

’’An investigation is also taking place into another contract awarded by the government of Tanzania in 1993 to upgrade its air traffic control systems. The contract was with Siemens Plessey, which was acquired by British Aerospace in 1998,’’ said Ms Baird.

She said the SFO has given considerable technical and legal support and advice to Tanzanian anti-corruption investigators, disclosing further that ’’the SFO lawyers with junior counsel, an investigator and an experienced (British) ministry of defence police officer visited Tanzania in May.’’

She added that ’’three members of the PCCB are currently working on the investigation and are spending July at the office of the SFO (in Britain), where they are receiving support and training.’’

During the same House of Commons debate, another British MP, Jonathan Djanogly (Huntingdon � Conservative Party), noted that the International Monetary Fund (IMF) had told the then prime minister Tony Blair that it was ’’very concerned about the impact of the (radar) purchase on Tanzania’s external debt burden.’’

He further noted that despite opposition from ’’all the most informed, respected and qualified observers’’, approval for the radar export licence was eventually forced through by the Blair government, an issue that caused divisions within the British cabinet at the time.

Said Djanogly: ’’Last year, the Serious Fraud Office and the (UK) Ministry of Defence began investigating the (Tanzanian radar) deal for alleged corruption. It appears that we are talking about �12 million of commissions, some 29 per cent of the contract value being in commissions.’’

The MP said the Conservative Party remained ’’very concerned’’ that the Tanzanian contract had damaged Britain’s reputation for fighting corruption.

The House of Commons debate on the Tanzanian radar deal has been raging since January this year, when it was first called by the MP for Sutton Coldfield and shadow secretary of international development, Andrew Mitchell.

Investigations by THISDAY have already long identified Vithlani as a key figure in the corruption investigations into the radar deal. He is the majority shareholder of Merlin International Limited, a company with a registered office in Dar es Salaam, which is believed to have been the agent for British-based radar supplier BAE Systems Plc in getting the deal approved by the Tanzanian government in 2001.

The other listed director of Merlin International at the time of the radar deal has been identified as Tanil Somaiya, owner of the Shivacom group of companies, also locally-registered.

Investigators are understood to have traced a $12m (approx. 15bn/-) slush fund allegedly wired into a Swiss bank account under Vithlani’s name that was used to sweeten the radar deal done during the third phase administration.

Apart from the radar deal, Merlin International Ltd has also been linked to a series of other controversial contracts with the government, including the supply of over 600 Italian-make IVECO military trucks at a cost of around 55 million euros (approx. 93.5bn/-).

The same company is also named in the supply of six Agusta Bell helicopters to the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), as well as the $40m (50.7bn/-) Gulfstream presidential jet sold to the third phase government in 2002.

According to our knowledgeable sources in Dar es Salaam, the radar deal bribery investigation, which has been proceeding on several fronts, is now on course for a much-awaited climax with imminent plans for prosecution of a key suspect.
 
....its sad kwetu ambao ndio tumeumia na kudhulumiwa wala hatujigusi,lile Bunge ndio matatizo yote yako pale HAWAFANYI KAZI YAO....at least yule kijana ZITTO anajitahidi sana lakini hana support yeyote ndani bungeni maana wale wajinga wa CCM kazi yao ni kama rubber stamp..lakini acha wananchi wale jeuri yao maana ndio waliowachagua na nina hakika wakirudi tena watachaguliwa tena...sasa mnalaumu nini?
 
70bn/- military radar deal: Key suspect disowned

-Longtime business partner cuts all links with controversial middleman

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

 
I am sure by now he has already put his wealth and his access beyond Tanzanias governments reach. No matter what Hosea will do he will not even get close to him, it will mainly show and fool the public that he is doing something. Big people behind it are still in the country and they will shut him up. Let us wait and see.
 
[QUO
HTML:
Let us wait and see.[
HTML][/HTML][/QUOTE]

That about all we have done and will continue to do
 
sasa tunajua ni nani ambaye Hosea alisema wako karibu kumfikisha mahakamani.... "mbuzi wa kafara"....
 
....ingekuwa ni United States Congress basi hapo ungeona live kwenye ITV na sijui nini zile TV zetu mtu anamiminwa maswali analia kama mtoto maana hawa watu hawataki mchezo na 75% ni malawyers wa nguvu ambao spin kwao ndio nyumbani sijui kina balali maskini wangesema nini zaidi ya kujiuzulu na ku pledge the fifth na kuashia kwenye court of law na kufungwa bkama watoto wakorofi
 
Kutoka Gazeti la Mwananchi



Na bado, mpaka kieleweke
 
Wakati mwingine nikisoma habari kama hizi najiuliza hivi ni kweli? ama naota? Ni Tanzania hii hii wananchi wake wameamka na kuweka woga pembeni na kudai haki zao za msingi??

Basi hakuna lisilo wezekana, 2010 huenda watanzania tukafanya kweli katika historia ya nchi yetu kuwatupilia mbali hawa wadhalimu!

Tunahitaji watu wapya, wenye kusimamia maamzi yao siyo kama JK anaye kuwa mwoga wa kuwawajibisha watendaji wabovu kwa vile swahiba na washikaji zake, Tunahitaji viongozi wawajibikaji siyo wasanii wa kulindana na kugawiana raslimali zetu!

Hao watu wapo, tuwape nafasi, mafisadi wakae pembeni wakajifunze ama wajifunde upya kama watastahimili vishindo! Lakini katika yote, wakumbuke siku wakiwa nje ya dola, lazima mali zetu walizo zurumu nchi nzima na kuzifanya mali za chama wazirejeshe!! Hilo wakae wakijua! Viwanja vyetu, majengo yetu, vyote wanavyo dai ni vya CCM wakati wote tulivichangia chini ya mfumo wa chama kimoja??? hiyo siyo haki.. lazima tuwadai na tuzirejeshe!
 
..hizi safari gharama zake ni zipi? bila shaka mabilioni.

..kwanini kazi hii ya kuwafundisha wananchi kuhusu bajeti isifanywe na wabunge? si wabunge waliunga mkono bajeti?

..semina elekezi ilitafuna mabilioni. safari za raisi mabilioni..
 
Kila mtu anataka posho ya vikao, kweli wanahitaji posho kuhudhuria vikao ambavyo ni wajibu wao?

Sehemu kubwa ya pesa za budget zinaenda kwenye posho za watu mbalimbali badala ya kwenda kwa walengwa.

Hivi nani aliyeanzisha haya mambo ya posho posho?
 
waizi wa kuku huwa wanafungwa je?ni kwa nini waizi wakubwa kama hawa bado wako huru?
 
Posted Date::10/8/2007
Kamala, Chenge wazima hoja ya Buzwagi Mara
Na Ramadhan Semtawa, Musoma
Mwananchi

WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge na Naibu Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Diodarus Kamala, wamefanikiwa kuzima hoja ya utiaji saini mkataba wa Buzwagi, ambayo ilikuwa itawale mikutano ya vikao vya ndani ya Halmashauri Kuu za Chama Cha Mapinduzi (NEC), mkoani hapa.

Kwa nyakati tofauti Chenge na Dk Kamala walizima hasira za wanachama wa CCM ambao walionyesha kukerwa na hatua ya Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, kuhusika na utiaji saini wa mkataba huo ambao umezua mjadala mzito nchini.

Taarifa kutoka katika vikao vya ndani vya NEC katika wilaya za Musoma na Bunda, zinasema kabla ya wanachama kuuliza suala hilo, mawaziri hao walianza kulizungumzia.

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mara, Macmilian Ngesi, alithibitisha suala hilo kuzungumzwa katika vikao akisema lilikuwa na lengo la kuweka sawa jambo hilo na kulitolea ufafanuzi kwa wanachama ili walielewe kwa kina.

Hata hivyo, awali baadhi ya wajumbe wa NEC wa Wilaya ya Musoma waliliambia gazeti hili kabla ya mkutano huo kuwa walipanga kuhoji kwa nini hadi sasa Rais Jakaya Kikwete, hajamfukuza Karamagi au waziri huyo kujiuzulu mwenyewe.

Mmoja wa wajumbe hao alienda mbali akisema kama ingekuwa ni wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, Karamagi angeondolewa na kupelekwa vijijini hata na kupewa wadhifa mwingine.

Hata hivyo, taarifa kutoka ndani ya mkutano huo zilidokeza kwamba, akiwa Musoma mjini, Dk Kamala kabla ya kutoa maelezo kuhusu utekelezaji wa falsafa ya maisha bora, alianza kufafanua kuhusu sakata la Buzwagi na sekta nzima ya madini.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Dk Kamala alitumia muda wa takriban saa moja kufafanua suala la Buzwagi hali ambayo ilifanya wanachama hao kutouliza baada ya kupata majibu ya msingi kuhusu sakata hilo.

Kwa upande wake Chenge, akiwa katika mkutano wa ndani wa wajumbe wa NEC wilayani Bunda, alitumia mbinu hiyo iliyotumiwa na Dk Kamala kwa kuanza kueleza sakata hilo akisema tayari limeshatolewa ufafanuzi na kwamba hakukuwa na sheria iliyokiukwa.

Chenge alitumia fursa hiyo kufafanya tuhuma nyingine za ufisadi akisema tayari serikali ilishazitolea kauli na kwamba kinachohitajika sasa ni wanachama kushirikiana na wananchi kutekeleza ilani ya chama ya kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.

Sakata la utiaji saini mkataba wa Buzwagi limeonekana kutikisa mikutano ya ndani ya mawaziri hao na wajumbe wa NEC katika wilaya za Bunda na Musoma, huku kupanda kwa gharama za vitu na mfumuko wa bei likiwa ni jambo jingine kubwa lililotawala mikutano hiyo ya watendaji na wananchi.

Naye Zulfa Mfinganga, anaripoti kutoka Kahama kuwa baadhi ya wakazi wa mji wa Kahama wameeleza kusikitishwa na uamuzi wa mawaziri kutofanya kwa mkutano wa hadhara wa mawaziri waliotembelea mji huo jana kuelezea mwenendo wa bajeti.

Mawaziri wanaofanya ziara katika mkoa wa Shinyanga kuelezea bajeti ya serikali ni pamoja na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira)Mwandosya, waziri wa Katiba na Sheria, Mary Nagu, Naibu waziri wa Mambo Nje, Cyril Chami.

"Unajua mwandishi wangefanya mkutano huo tungewabana sana kuhusu Buzwagi lakini nadhani machale yamewacheza,"alisema mmoja wa wakazi wa Khama, Masanja Maduhu.
 
Radar prosecution likely next week
THIS DAY

THE main suspect in the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) military radar investigation will likely be prosecuted next week in what is set to become the biggest corruption trial in the country’s history.

Law enforcement sources have told THISDAY that as prosecution becomes imminent, authorities in Tanzania are also looking at modalities for freezing a key Swiss bank account believed to have been used to pay $12m (approx. 15bn/-) in illegal kickbacks to government officials to approve the deal.

The sources confirmed yesterday that formal charges are expected to be made against at least one key suspect to begin with.

More high-profile figures involved in the 2002 transaction approved by former president Benjamin Mkapa’s government are to be joined in the charge sheet as the trial proceeds, they said.

It is understood that lawyers with the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the office of the Director of Public Prosecutions (DPP) were this week expected to wrap up formalities on the official consent for prosecution.

’We understand that the PCCB and DPP will by the end of this week make a decision,’ one source said.

The corruption and economic sabotage charges against the suspect, whom we shall not name today for legal reasons, will likely be filed before a Dar es Salaam court, the sources said.

On the issue of the Swiss bank account used in the radar deal, it is understood that the PCCB may have to liaise with the attorney-general�s chambers to work out the legal technicalities of getting authorities in Switzerland to freeze the account.

There was no immediate comment from government on the latest developments in the radar case, or the imminent prosecution of any suspects.

However, analysts say the move is expected to shake off some of the sharp criticism that Tanzania has been receiving for failing to record much progress in the war against high-level corruption.

Britain’s defence manufacturer, BAE Systems, has been facing international pressure over the sale of the radar system to Tanzania, a deal which has been under investigation by both the UK�s Serious Fraud Office and the PCCB.

At the heart of both probes are payments amounting to about 30 per cent of the contract’s value, allegedly made by BAE Systems to a Tanzanian agent who helped broker the deal.

The British company is believed to have paid around $12m (approx. 15bn/-) to one Shailesh Vithlani, who is understood to have been the agent behind the deal through his Dar es Salaam-based company Merlin International.

It has been alleged that BAE Systems also used a British Virgin Islands company to enter into an agreement with another Panamanian company to provide ’advice and various services’ in connection with the Tanzanian radar deal.

SFO investigators visited Dar es Salaam last year and interviewed both Vithlani, who holds a British passport, and Tanil Somaiya, his local business partner at Merlin International at the time of the deal.

Merlin International was originally registered on March 27, 1986, with Vithlani (8,000 shares) and Somaiya (2,000 shares) identified as its two founders and listed shareholders.

But lawyers for Somaiya, who also owns the Shivacom Group of companies, have said he ceased being a shareholder and director of Merlin International on January 8, this year.
 
Nasikia wakubwa hawajafurahia habari hii ati mtuhumiwa anaweza kutoroka nchi.... Je This Day wamefanya vizuri kuchapisha habari hii kabla jamaa hajatiwa nguvuni?
 
Sidhani huyu yuko peke yake lazima atakuwa amekula sahani moja na vingunge waliompa huo uwakala. Sasa kesi nzito kama hii kwanini wasimsweke lupango ili kuondoa uwezekano wa kutoroka!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…