bro kay
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 249
- 222
Umenifanya nikawaza mbali sana,nikakumbuka enzi zile nilipokuwa mtoto nilikuwa naweza kukaa peke yangu sehemu iliyotulia na kujiuliza mimi ni nani? Kiasi nilikuwa najishangaa na kutoka nje ya dunia kifikra tofauti na siku hizi hata nijaribu vipi siwezi tena.
Siwezi kusubiri kigongo hiki kipya honey,kwa intro hii itakuwa balaa...pasua kichwa hasa.
Si wewe peke ako Mrs The Bold.....nilivokua mtoto nilikua nawaza hvo pia naenda beyond the life afu najikuta siwezi kufikiri anymore......nilikua naishia kulia tu

