Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Haya ni makhaba,duuuuh!Genius The Bold..!! Nitakupa 5% ya mshahara wangu nikipata Ajira sawa Mkuu
Sure...jamaa ni genius kwelikweli.
Haya ni makhaba,duuuuh!Genius The Bold..!! Nitakupa 5% ya mshahara wangu nikipata Ajira sawa Mkuu
Hahahah pole sana Mkuu..
Kabisa Mkuu.. There must be something more to this life..What I believe kuna maisha zaidi ya haya tuliyonayo katika hii dunia ni vile uwezo wa binadamu umefichwa na kuna njia za kujua lkn how" huu mjadala napendaga sana kuongelea nikikaa na mshua huku tukiangalia juu bt at the end hua tunasema God is Great
"Call to me and I will answer you and tell you great and unsearchable things you do not know" Jeremiah 33:3
Mkuu The bold nasubiri kwa hamu hyo simulizi
Hahahahah!! Salute chief..Genius The Bold..!! Nitakupa 5% ya mshahara wangu nikipata Ajira sawa Mkuu
Salute comrade..bro uko beyond extramind
Mkuu Ls man,The bold, ukifanya utafiti jiridhishe bila shaka kuwa dunia hii inamiaka, mingapi? Maana kwa mjib Wa bandiko lako mkuu dunia inamiaka billion 4 jambo ambalo sina uhakika kama ni kweli
Kwa mjib Wa kitabu ninacho kiamini sana cha biblia dunia inauhai Wa miaka elfu 6s na uthibitisho upo..
Hivyo njoo na editing pia kama hautojari au uthibitisho Wa kile ulichokisema b4 .....
Kimsingi nasubr kusikia kutoka kwako@the bold
Salute chief..mega mind
ngoja nikwambie mkuu group lako Lipo safi sana na sheria ulizoweka zipo poa sema shida ni kwamba kuna kipindi unaahidi nitaamka post katika nusu saa ijayo hapo yanaweza kupita hata masaa Sita au leo nitaweka na usiweke au kama ni usiku unaahidi utaweka lkin mpk asubuhi hakuna ni changamoto inabidi uzifanyie kazi ni bora usiwe unasema kabisaGroup itakuwa inakimbia fasta.. Episode zitaruka kila siku.!
Pamoja sana kamaradi..Waiting eagerly The bold!
Buradani imerudi tena maana Mamba pamoja na balaa lake kiboko anaishi majini bila bugudha yoyote basi mkuu nawe Uandishi ni moja vitu vinakufanya, vitakufanya uishi na kuburudika fanya yaliyo karama pamoja sana.

Bila shaka Mkuu.. Nitafanya hivyomkuu unitag ukiweka episode ya 1 jmos